@mc_manyama1: Mchakato wa mafanikio wakati mwingine ubeba maumivu na sadaka hii ni Hadithi ya @officialnandy ⚠️ DISCLAIMER:Maudhui haya hayalengi kumdhalilisha, kumkashifu au kuathiri heshima yake kwa namna yoyote, bali kutoa simulizi yenye mafunzo na hamasa kwa jamii. #FAMEORA #viral #Storytelling #tanzaniatiktok #nandy