@yasiningitu: Kısa wanawake wa nyumba mdogo wa zamani na sasa 😂😂😂

Yasini Ng’itu
Yasini Ng’itu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 03:39:59 GMT
159148
11462
246
345

Music

Download

Comments

user174183902099
safia shaban :
wamanyema tupo
2026-11-06 14:54:11
11
theboy111peter
Imma🪖🇹🇿 :
Kweli kabsa nilimlaumu sana baba angu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ila sahvi nimemuelewa [Tears of joy]
2026-11-06 12:07:25
18
pr_scy
Priscy :
mimi ni uyo nakula zangu karanga ata siskilizi
2026-11-06 09:50:47
57
lulumapafyum
Lulumapafyum :
kwani Cheka 2 hawamuoni
2026-11-06 09:40:31
33
riziki450adee
Riziki wa Adee :
sijapenda kuna watu wamegoma kucheka kabisa wanaona ka wameyapatia maisha sana kupanda ndege au ?
2026-11-06 11:08:44
59
drizzleg900
🧸 :
Me bdo npo na " jini Zuhura "
2026-11-06 07:34:09
36
user45843676147125
nnurah :
ila shila anajua kwenda na mda😂😂😂
2026-11-06 09:28:16
28
zaylie971
Miss-dady😍 :
Huyo kaka hapo pembeni Mbona kama anateseka
2026-11-06 18:05:36
13
kunju_the_icon
@_Kuñju_+255 :
wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
2026-11-06 07:18:08
25
user2998192873887
user2998192873887 :
Hili jamaa lina kumbukumbu sana😁😁
2026-11-06 16:36:44
8
geemassawe45
SAGITTARIUS ♐️ 🏹 🔥 :
Af et nimejikuta sichoki kumsikilzaa[Snicker][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-08 01:46:20
2
aidalition7
Aida Lee :
kipindi hichooooo[Tears of joy]
2026-11-07 10:04:48
0
hawa.mtambwa
hawa mtambwa :
Nilichogundua Huyo Kaka Hajui Kiswahili 😅😅😅😅
2026-11-08 07:59:52
3
tattie447
Tattie🦋 :
Eti basi kama mmenifumania msinirecord [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-06 15:47:55
5
voksy04
voksy :
kipindi hichooo
2026-11-06 13:58:01
5
vinib002
colours 🔹 :
kipind ichoooo'
2026-11-07 20:40:50
4
user7396515784090
user7396515784090 :
sema nyumba ndogo za Zaman hapo nmekwelewa zaid !
2026-11-07 10:18:49
6
user9140338790407
Fasna :
Yani wewe kaka unajuwa unajuwa Tena 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-08 19:31:44
1
mwananchi_wa_kawaida1
Mwananchi wa Kawaida🇹🇿 :
Sasa mbona Shila unatoa code mwanetu😂
2026-11-07 03:34:56
5
katituvitenge
Tunduma vitenge :
Hii ndege ndo watu wanachekeshwa
2026-11-07 15:40:39
2
gard.mwanyika
Gard Mwanyika :
siii tyunaondoka na kipindi ichoooo
2026-11-07 14:59:38
3
b.aunty5
B aunty :
ivi iyo bondeni hoteli hipo dah kitambo umenikumbusha kitu jamani
2026-11-06 19:24:29
3
aliloostore
Aliloo Store 🎀🛍️ :
Waliopo kwenye ndege wame enjoy 😁😁
2026-11-07 16:59:59
2
shayani.miuki2
Shayani miuki :
Nyumba ndogo mda wote mwali🤣🤣🤣Nimekumbuka mbali sana
2026-11-07 06:27:19
3
geofreyonael
Miss Rahe :
ila kwa nn??? bora walipe denii🤣🤣🤣
2026-11-08 12:33:35
1
To see more videos from user @yasiningitu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About