kalengesha upande wa konda ila madereva nyie mungu awasaidie
2026-11-06 12:50:45
49
Paul :
upande ule ule asee
2026-11-06 09:35:57
21
Emil_tez 💫 :
mmh ajali haizuiliki ila mm kukaa siti za.mbele,sitowahi kabisa👐poleni sana jaman😭😭😭
2026-11-06 13:05:05
14
The Good son :
Duuuh wap hii
2026-11-06 13:56:32
0
meenah@🥰 :
Rama pumzika kwa aman kak😭😭
Abuu ugua pole kak angu😢😢
2026-11-08 08:19:17
0
🔥 MSHUA ( Mandela😎 E F U )🔥 :
Makaburi mwendo ... Haya Kuna watu wanavimba na kuwadharau wenzao Kisa tu wao wamepewa Wazifa flan aisee Haya haya machuma yanaweza kuwabadilisha majina ... ila mungu alivyowaajabu Watu Wema Kwa Wema wao ndo wanaopata Majanga na kuondoka ( mungu huchukua kilicho Chema )
2026-11-06 06:46:47
9
SHINE collection MWANZA 👗👖🩳 :
Mungu mlinde mume wangu na ma dereva wote mungu waepushe nakila ajali 🙏
2026-11-06 08:10:11
17
Anith@martine💖 :
jamani hiyo ilikua unaenda wapi tarime au bukoba bau mwanza
2026-11-07 16:02:13
0
Brother Fidelis :
Mungu anahusika vipi na ajari barabarani?
2026-11-06 14:37:16
0
bb Maggie :
wp hii tena
2026-11-06 15:07:59
0
msonge :
hiyo ime tokea jana mida ya saa saa 10 ucku nime ipita hapo na dereva alifariki hapo hapo alikuwa amelala gari ilikuwa na msaidizi wake daah hatari sana watu wame kufa yan na majeruhi wengi
2026-11-06 17:30:52
4
Gere Alone🇹🇿 :
mbona wanasema dereva wa bus pia kafariki lakin apo gari inaonekana kwa dereva ipo sawa
2026-11-07 18:38:44
0
The great Disigner Lundenga :
mpaka naogopa na hii EQC inavyomwaga moto mpaka naogopa
2026-11-06 19:23:38
2
JACKMUSIC TZ :
lini hii
2026-11-06 14:36:32
1
mnhhhds :
RAMA 💔
2026-11-06 09:01:56
1
Jodoh Don Dom Twn :
daaah nd hii dereva kafa Na mwngine kavunjika Mguu🥺🥺😬😬
2026-11-06 19:46:28
3
#mbishiJ :
imelalia kule kule [Teary eyed]
2026-11-06 15:26:06
0
suma the greet :
asilimia 99% ya makondakta kwenye ajali wao ndo wa kwanza kufa 😭😭😭