@bongofive: Shila na stori ndani ya ndege kuhusu wake wawili wa zamani Ni safari ya kuelekea Mbeya miaka 30 ya BongoFleva Mchekeshaji Shila alivyowavunja mbavu wasanii kuhusu nyumba ndogo za zamani. İmeandaliwa na @yasiningitu

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 04:34:56 GMT
117668
9991
106
109

Music

Download

Comments

abbyrayd
abbyrayda :
dotto atasubiri san hap dahhh
2026-11-06 06:20:20
58
iqramsalim99
iqram salim :
shila ndio mtanzania wa kwanza kutoka dar mpaka mbeya bila kukaa kwenye siti
2026-11-06 06:16:12
103
hidaya9816
hidaya :
Wakubwa situpo huku
2026-11-06 05:12:18
16
bakariabdallah8628
taito 12 :
shira katengwaa
2026-11-06 06:14:56
5
baba.g0522
Baba G :
Nachompendea hatukani Wala hashfu mtu
2026-11-06 12:45:40
10
malick.abdul12
Malick Abdul :
watu wazima wadanganywa wameridhik n kutulia wakia wanafrahia uongo dogo shila noma
2026-11-06 17:03:21
5
laurentmwita776
laurentmwita776 :
huyu jamaaa ni comedian
2026-11-06 12:36:44
9
exaveryaden
@exavery Aden :
shila mastory 🤣🤣🤣
2026-11-06 05:36:38
11
user5866592600555
Thabiti mbehoma :
uyu jamaa nomaa🤣🤣
2026-11-06 05:06:39
13
aisherfaraj
Aisherfaraj :
Mimi baba angu alichukuliwa na mtoto wa kidigo baba akauza Hadi nyumba aliyoanza kujenga mama ikiwa haijakamilika akaenda kumpangia huyo mdigo nyumba nzima 😥😥
2026-11-08 12:18:34
2
suleimannassoro217
Mbosso bachan98 :
kabisa sisi wenyewe mzee ali tunyoosha
2026-11-06 14:45:50
5
mkumba_og
MKUMBA_OG :
Rubani nilikua kama hivi😂
2026-11-06 18:57:17
7
elishadeus281
sule :
ila shila kwa mastor uyoo jamaa ni hatali
2026-11-06 06:23:59
5
user7300352594057
userFake 😁 :
mungu amueke uyu brother 🙏 hana baya ukimuona tuh Usha sahau tabu
2026-11-06 06:59:58
5
abelnsomba5
Abel nsomba :
kipindi hichoo
2026-11-06 06:08:11
6
makodinda26
OUTLAWZ :
KIPINDI ICHO😁😂😁
2026-11-06 12:43:49
2
simbazee47
Simba zee :
haha
2026-11-06 19:24:19
2
shonstylish22
user Shonstylish😍 :
8000
2026-11-06 19:45:48
1
otis_otis12
Otis :
tumeona wote na we unatupostia tena 😂😂😂
2026-11-06 12:43:16
3
millety1
millety :
ila uyu jamaa 😃🥰❤️
2026-11-06 14:55:29
1
rouhy.04
AsiaDelicios cakes :
sasa humo hata tv hakuna kuwasha
2026-11-07 10:00:39
1
jamesrasta.001
JamesRasta 001 :
hhh
2026-11-06 14:59:07
1
hansi.melody
HANSI MELODY :
ila anaongea kweli tupu
2026-11-06 11:08:44
3
sweetnoory
sweetnoory :
anafurahisha kwakweli 🤣
2026-11-06 05:38:53
4
edwardmajird595
SAHILY BEY 🥷 :
shila atar 😂😂😂😂
2026-11-06 05:49:45
3
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About