@tumaini_pr_tv: Hatma ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kujulikana leo, Ijumaa, Novemba 6, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, inapotarajiwa kutoa hukumu. Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025, katika Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, alipokuwa kwenye mkutano wa kisiasa, na amekuwa kizuizini tangu wakati huo. Anakabiliwa na shtaka la uhaini linalohusishwa na tuhuma za kuhamasisha uasi kwa lengo la kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Fuatilia Kurasa zetu kwa Taarifa zaidi #tumainiprtv #tboyliontz #hapaninyumbanikwawote

Tumaini pr Tv
Tumaini pr Tv
Open In TikTok:
Region: CA
Friday 06 November 2026 05:18:57 GMT
104181
8229
189
296

Music

Download

Comments

user4275474681181
Atulo :
Tunaosema free lisu tujuane
2026-11-06 09:05:45
73
naahymushi
Eun💞💖 :
Huyu ni Mungu kamweka ili amsaidie kaz Duniani
2026-11-06 09:13:20
9
saida.foum
Saida Foum :
Tundu afungwe miaka 20 ndani akitoka ndio achaguliwe urais
2026-11-06 08:20:27
4
beuty.girl95
beuty girl :
kabisa umeongea mchungaji wangu upindishagi maneno
2026-11-06 07:26:20
13
bertha.lule
Temenal@😍🇹🇿 :
Wange mwacha jamani amalizie uzee wake na family yake jaman🥺🥺
2026-11-06 13:19:45
4
saidtulangondo
saidtulangondo :
allah amsimamie
2026-11-06 06:51:13
11
wamoromorotown
Wamoro Moro town :
Leo ni Leo baba
2026-11-06 09:48:02
0
geranium3215
Miss Geranium :
yupo huru au bado tu jaman
2026-11-06 12:19:55
0
aneth.mwaigisia
Aneth Mwaigisia :
nikwel baba
2026-11-06 07:55:23
7
user986557088213
tattina 71 :
naumia sanaaaaa
2026-11-06 08:00:35
7
officiallay6lay
lay💋💋 :
😭😭😭 free lisu jmn
2026-11-06 09:38:26
4
user1508301848169
official roxy :
Kwa kweli Mtumishi🔥
2026-11-06 08:59:50
4
user9343057398775
sky athmn :
wamuachie2 kuliko wanavo mtesa baba wa watu na yey anafamilia zake
2026-11-06 12:45:18
4
angelbeaut10
ANGEL GLOW✨🌸⭐️ :
Mungu tusaidie 🥹🙏
2026-11-06 09:10:30
5
zamdamzaki
Red rose 🌹 :
Kila mtu anamakosa ila tuu hii inaniuma sanaa
2026-11-06 10:37:10
3
hb.tz.45
HB TZ 45 :
inauma san
2026-11-06 13:04:19
1
justinjeremiah44
jerry :
wenye kufikiri mbali,TZ ni kubwa kuliko lissu.
2026-11-06 14:45:52
2
maulidhashim973
#MK🔥 :
dah
2026-11-06 06:22:30
3
onesmo502
onesmo mathias :
ujakosea kaka
2026-11-06 08:24:26
3
user9728753050501
Teacher :
nikwl kaka
2026-11-06 07:00:55
4
jackisonemmanuery
JackselaTz-🧢 :
tunakupenda baba
2026-11-06 10:45:34
2
l.doku0
L DOKU🇿🇦😜😝 :
Kwa pamoja tuseme freeee lisu wa Tanzania 😭😭😭😭
2026-11-06 09:50:40
2
harry94880
harry :
huuuuiiiiii🥺🥺🥺
2026-11-06 07:13:40
2
user8315804509774
user8315804509774 :
kweli kaka
2026-11-06 07:16:13
2
richngowi
RICHARD NGOWI :
Sawa kabisa
2026-11-06 08:48:03
1
To see more videos from user @tumaini_pr_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About