@lifelesson319: #africanprison #tiktoktanzania #tiktokcongokinshasa🇨🇩🇨🇩🇨🇩 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktokkenya

LIFE_LESSON
LIFE_LESSON
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 05:55:13 GMT
193366
14103
485
221

Music

Download

Comments

david.mathias40
David mathias :
hivi mtu mmoja askari 20 daa lisu ni mafya
2026-11-06 08:14:59
133
khamisibinamu
Binamu dread locks :
Naogopa siku Lissu akija kuwa rais hcho kisasi chake, Mungu ibariki Tz
2026-11-06 11:35:09
102
zuberyharuna7
TEMPA ENG :
internet mbna ipo slow
2026-11-06 08:46:21
7
johnson.gwakula
Johnson Gwakula :
huyu ni wa kulindwa kama dhahabu maana ana misimamo mikali.. tz hakuna mtu anaweza kujitoa muhanga kwa ajili ya wengine baada ya magufuli kuuwa na wauwaji wa ccm... Mungu mpiganie huyu mwanao mpenda haki na amani, mpinga maovu n.k
2026-11-06 10:28:41
49
marry.jonasy
Marry Jonasy :
Nimelia Leo mtoto ananiuliza mama unalia Nini namulilia lissu
2026-11-06 13:49:04
19
venanceemanuel
baba D :
mungu wa mbinguni kama tulivyokuomba tunaomba umpe baba yetu uhuru wake
2026-11-06 06:19:29
80
latifah.dollah
tiffah Dollah :
Mungu wangu wa mbinguni mpe uhuru huyu baba anateseka mno
2026-11-06 09:12:26
44
sajadhally55
sajad :
mungu wangu msimamie uyu kiumbe wako nae ana familia inamtegemea
2026-11-06 08:53:53
37
mama.africa78
Keen :
dah mungu fanya jambo basi kwajili ya uyu baba😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
2026-11-06 14:06:08
9
user3086547174688
nandy mndeme :
saskia ameshinda tuzo ya unaharakati Bora duniani
2026-11-06 11:43:08
7
tausikazimoto
tausikazimoto :
nimelia sana mungu wetu sotee
2026-11-06 17:49:29
6
nancy.chambo7
NANCY PAMBA KALI :
ila Zambi hizi najikuta nalia mm
2026-11-06 09:31:02
7
angelbeaut10
ANGEL GLOW✨🌸⭐️ :
Mungu tunakutegemea 🙏
2026-11-06 09:51:11
5
najie43
I.t.s.NAJIE🦋 :
Mungu wa mbinguni akutetee baba
2026-11-06 09:28:37
5
user5605492971427
big star boy :
movie ya selikali
2026-11-06 09:17:35
5
user65920308038788
Mama Moureen🥰 :
Mtu mmoja mna mzingira ivyo jmn mwacheni apumue viziri bana
2026-11-06 12:02:20
6
ladymbisembise
Lady mbise Mbise :
kusoma ni Raha sana sisi ambayo hatujasoma MUNGU atusaidie watoto wetu waje kusoma
2026-11-06 13:35:12
5
user2965040779675
Joymallange :
😥😥😥kama ilivyokuwa kwa Paulo na Sira! Mungu usinyamazee
2026-11-09 15:59:46
1
chameru1
alabama the men from meru :
power full🤩🤩
2026-11-08 11:09:04
2
user7395784655963
adija mwampulule :
mungu akutunze saana baba
2026-11-08 07:41:18
2
user2965040779675
Joymallange :
Historia imeandikwa, utasomwa na kukumbukwa ktk medani za siasa na kupinga ukandamizaji. Mungu akupe afya njema na nguvu ya kustahimili
2026-11-09 16:02:59
3
joyjoseph8497
Joy Joseph :
nami nimesema
2026-11-07 10:07:41
3
fredyjawa0
dalali nyumba viwanja karibu :
amen
2026-11-06 15:28:38
1
user3326193351134
Aisha♥️ :
aisee
2026-11-07 09:24:23
1
mremagh
mrema :
Mungu akulinde
2026-11-06 19:22:08
1
To see more videos from user @lifelesson319, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About