@cawabemedia_: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametoa ujumbe kuhusu tofauti kati ya kazi na riziki, akisisitiza kuwa kupata ajira au mshahara mzuri si lazima kumaanishe mtu ana riziki. Akizungumza na viongozi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO's) mkoani Iringa, Kheri amesema kazi inaweza kupatikana kupitia juhudi za binadamu, lakini riziki hutoka kwa Mungu. “Kazi wanakupa wanadamu, riziki anakupa Mungu. Unaweza ukawa na kazi lakini huna riziki; kazi nzuri, mshahara mzuri, lakini umepauka, riziki bado,” amesema Kheri James.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 06:04:47 GMT
8952
252
2
41

Music

Download

Comments

user439248485349
user439248485349 :
nikweli hiyo ni mimi kabisa pesa napata ila mitihani ndiyo sana
2026-11-06 12:07:37
0
fatmalissu
Fatma Lissu :
mashallah
2026-11-06 06:19:25
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About