@veriafya: Naizihijwa Gadi Majani, Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa Watoto na Mkurugenzi Mtendaji wa Heart Team Africa Foundation ameyesema haya kupitia ST BONGO TV. Ni muhimu kwa wazazi kuhakikisha wanashughulikia vyema tatizo hili kwa kuwapeleka watoto kwenye vituo vya afya watibiwe kwa usahihi ili baadaye wasipate Magonjwa ya Moyo
Veriafya
Region: TZ
Friday 06 November 2026 06:33:40 GMT
Music
Download
Comments
nicprecious :
kweli kabisa nilipata ugonjwa wa moyo kwasababu ya tonsils wazazi tuwe makini yamenikuta mimi toka nikiwa mdogo
2026-11-10 04:12:19
1
Abdulrazak :
ni wap naweza kupata wataalamu wa kutibu huu ugonjwa jamani kijana angu yanamsumbua mara kwa mara sanaaa
2026-11-09 02:05:59
0
Slay with dayana :
hii ni kweli kabisa,mdogo angu alipata ugonjwa wa moyo kwasababu ya tonsils lakini sasaiv amepona
2026-11-12 09:53:40
1
@Palla026 :
ongera sana Dr my claasmate Ashira girls
2026-11-12 09:48:41
0
user1076381261579 :
Hongera sana Dr Naiz my classmate,U are doing great
2026-11-11 08:51:15
0
KHADIJA IFTIQAR Mohamed :
Nakupenda sana Dr. Naiz
2026-11-11 23:37:38
0
Zuu :
wangu alikuwa anapata homa mara kwa mara mpaka ulifanyiwa opareshen
2026-11-09 17:11:12
0
user9837438117780 :
hii ni kweli
2026-11-11 12:49:51
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.