Muweke chin mtoto akae achezee ndo umpe chakulaa, sio lazima kumkabaa hawapendagi kukabwaa, pia tumia kijiko kidogo cha plastic or mfupaa
2026-11-06 20:44:57
66
~Zerich♡" :
wangu ako na six month hapendi chakula kingine zaidi ya ugali 😂🤣
2026-11-06 18:27:20
39
evalinedanford1 :
hicho kijiko 😂😂, wangu alikuwa hivyo ila sasahivi analilia mwenyewe, halafu akiwa anakula usimlazimishe tumia hata masaa mawili, chezea nae ajue kama ni mchezo kumbe ndo anakula Kuna muda muache kabisa asahau kama anakula hapo unamuweza, usimlize tena jamani
2026-11-06 18:20:55
19
𝐅𝐚𝐡𝒾🌸 :
Hicho kijiko c unamuumiza fizi au mm ndio namdekeza huyu wangu😹
2026-11-06 20:00:06
8
jenijoseph89 :
Muache kwanza pengine saizi hana njaa utamlisha badae badae huenda njaa itamuuma wakwangu akiwa hana njaa ananigomeaga hali ng’oo sasa nilishaga mjulia namuacha hadi njaa Mume
2026-11-06 19:03:19
1
Sayrah💫🦋Star✨🦋💕 :
hapo wangu had makofi anakulaga akikataa kula😏
2026-11-07 10:35:52
0
Smiler_🦋❤️ :
usimpe mtoto chakula kwa style hiyoo jamani,kula chakula siyo vita ni starehee ko inabidi utafute mbinu nzuriii siyo hiyoo yaku mkabaa nakumfokeaa ,
mtoto atakua hapendii kula kabisaaa,sababu humpi chakula kwa Upendoo,
apa akimaliza kula Ata lala, na mtoto hatakiwi kulala akiwa na hasiraa, inabidi umfanye mtoto alale akiwa na furahaa,
akilala na hasira unamtengenea tabia ya ukatili akikua mkubwaa atakua Hana upendo Kwa wenzakee sababu yamaisha Aliyopitiaa.
ACHA KABISAA KUMPA MTOTO CHAKULA KWS STYLE HIYO. TAFUTA MBINU NZURII HATA VINYIMBOOO , KUMUIMBIAA, SIYO KUMKABAA HIVYO
2026-11-07 10:44:05
2
lizzy maiga :
jamani mtoto sio lazima ale chakula chote hata akila vijiko vitatu inatosha na baadae tena unampa ila wamama wa 2000😂😂😂😂
2026-11-06 17:47:08
8
asiakinyelo :
Mimi simkabi mwanangu asipotaka nafunika Nampa badae na imenisaidia
2026-11-07 17:45:38
1
Nazjolly :
mtoto analia af unampa chakulaa ukikabwa yaan chakula kikaenda kwenye njia ya hewaa mtakimbizanaa apo usimlazimishe angaliaa chakula anachopendelea kula
2026-11-19 13:12:36
0
offcially marry :
uyu wangu kabsaaa ila yy unamuwekea mdomon anatemaa
2026-11-06 19:26:58
0
🌸HOPE♈️TINAH🖤 :
Yan wangu jaman Ataki vyakula vya watt ukipika mtor sjui tumaziwa naishia kula mm na baba ake 😅😅 Ugal Sasa ndo anapenda mwanangu na soda yabarid😂
2026-11-06 22:20:11
1
Queen Regina 👑🇹🇿 :
Bora hata uyu anamkaba anakabika na anamezaaa wangu Sasa unamkabaa na anautemaa 😂
2026-11-06 18:19:09
1
Malishka🐾🌸 :
Mi nitamkaba wangu sipendi watoto vishoia 😂😂😂
2026-11-07 07:20:47
2
Joy :
tumia kijiko cha plastic kipenz maana unaweza ukamchuna
2026-11-06 21:20:30
5
@😘capsinoassey@from Tanzania :
jaman jaribu kumpa anapohisi njaa atakuelewa atakula usimpe kwa mazoea kwamba lazima watoto wale mara nne hapana anaweza akala mara mbili na akawa na afya nzuri sana
2026-11-07 09:01:55
0
Ilhamcakesandmore🎂🍪 :
Ata ilo jikoo mi kubwaaa kwakee😂😂 kwa vyawatoto hakunaa
2026-11-11 19:35:53
0
yanery :
simpee mtoto na kijiko cha chuma na usimkabe muache huru unamdanganyia cartoon uku anakula🥰
2026-11-09 05:31:34
4
nayrahMoussa :
mnunulie vjiko vyake vya plastick utamuumiza fizi
2026-11-07 17:09:15
0
mamikhai :
unampigoa makelele,unamkaba ,humbembelezi humchekeshi ,humsifiii ata mm kama ndo ivo sili
2026-11-07 07:38:05
2
zuhuraawadhi :
tumia kijiko cha plastik hilo jiko kubwa sana
2026-11-06 18:40:36
3
🌸Shop with Naylah🛍️ :
Kuna post nimetoka kuona mda sio mrefu mtoto Amefariki kwa kupaliwa na uji jamani wa mama tuweni makini usimpe mtoto chakula akiwa Ana Lia mwache atulie
2026-11-15 18:17:35
2
cute🦋💫 :
kumshika hivyo hataki anataka umkalishe uku akiwa anachezea vitoi [Tears of joy]
2026-11-06 17:06:06
1
maua collection2🛍 :
kulisha watoto kazi jamni khaaaa mimi mpka naliaga 😹
2026-11-06 18:40:30
1
annie joram🦋🦋❤ :
me sahiv simlazimishi jmn maana vifo vya watoto kupaliwa na chakula vimekuwa vingi
2026-11-16 13:25:21
1
To see more videos from user @pretty_little_chloe_6, please go to the Tikwm
homepage.