@cooliesports: Video Credit and Rights Belongs To *WasafiFm* Source ☝🏾 ☝🏾 ☝🏾 ☝🏾 ☝🏾 #simbasc #Yangasc #tiktoktanzania🇹🇿 #nbcpremierleague #creatorsearchinsights2026
DULA MIMI UNANIUZI KILA SIKU UNAWASANUA YANGA WAJITAMBUE WAACHE TUZID KUWAPASUA
2026-11-06 08:53:49
21
Abubakari Shariff :
Oya dulla kashasema kwisha [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Victory]
2026-11-07 12:40:03
1
Gonzalez @ :
dulaaa bigapu sana unajuwa mpra sanaaaaa
2026-11-07 09:54:40
1
Last kaizer :
bc uyu jamaa ile timu apewe yeye
2026-11-06 14:24:06
5
Vicent Phidelis :
Mimi ni mwanasimba ila niulize huyu jamaa ashawahi isifia Yanga kweli.!?😊😊
2026-11-07 06:33:13
2
"ʜ"💕Qeen🫦 :
yaani minapenda anavo isema yanga vibaya
2026-11-07 07:28:40
1
kerewe boy :
Kwnn usipendekeze kocha ambaye ni sahh kwako wenda team zikafanikiwa maan me nakuona kaz kudogosha wachezaj na makocha tu bila kutoa solution
Kwa taifa stars ulisema gamondi sio kocha bora Sawa toa pendekzo kwa nchi kocha gan aletwe sas
2026-11-06 10:05:32
3
Khamis Makame :
contect creator
2026-11-06 18:07:50
3
CH1K0666 :
alipigwa akiwa simba atapigwa akiwa yanga😁😁
2026-11-06 17:12:25
7
emmanuel :
jamaa nilikuwa namchukia anavyotuuwa yanga lkn ktk hili la FADLU yuko sahihi 100%
2026-11-06 11:51:46
4
Castor Laurent :
Huu ndio mwanzo wayanga kupotea kwenye ramani ya soka😂😂
2026-11-07 11:35:36
1
@Vincent :
Kwan uyu jamaa anataka aje pep guadiola 🙌🙌
2026-11-06 16:13:29
0
MtuiMaRa :
fadlu hakuna derby amewah kushinda....kifupi,mech za maamuz magumu ,hajawah toboa pamoja n kuwa n uchezaji mzr kiwanjanii
2026-11-06 17:07:35
3
SUCCESS 2025.996tzxmmkllw. :
kaka kaka kaka nakuita x3 yanga wanakuchukia😁😁😁
2026-11-06 11:16:55
4
Grn :
Dullah siwezi hishi bila ww 😁
2026-11-07 05:14:30
1
Jr_Doctor :
Me naungana na Dullah
2026-11-07 08:39:56
1
BOB :
Huyu jamaa 😄😄😄
2026-11-06 20:01:51
1
jaylen :
Usiwe unawaambia bhan ww nawe[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 01:46:20
1
Azizah hamzah :
Acha wajichanganye na wewe unawanasua wa nini aaah me unaniuzi waache😂😂
2026-11-06 11:41:53
2
lemamolelilemamoln :
nakweli
2026-11-07 08:19:26
0
Montana mjamaa17 :
Mimi sikupingi maana statistics zinaongea
2026-11-07 13:34:47
1
Musa juma :
mmh
2026-11-07 09:33:47
0
tumasaid1 :
na wasivo penda kuambiwa ukweli ss😂
2026-11-07 17:16:47
0
Ally suleiman :
of course of course 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 08:16:30
0
To see more videos from user @cooliesports, please go to the Tikwm
homepage.