@buzzy.verse: Moja ya ndoto yangu kubwa ilikuwa siku moja nije kufika hapa Namshkur mungu kalitimiza ilo pia asante wote mlokuwa na mimi hadi kufika hapa leo Hii sio kwaajili yangu tuu Hii nikwaajili ya watu wa burundi wanao penda music wa kiswahili asante @WasafiMedia @Wasafifm asante @Sauda Shelton asante @Amadi Entertainment @asante@Mwami Wa Bana ll👽 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #umempata
Buzzy Verse
Region: TZ
Friday 06 November 2026 07:22:16 GMT
Music
Download
Comments
💎Zuchu wa gulf 🎀🖇️💎 :
daah unatuwakilisha burundi 🇧🇮🙌🏾🌟🖤
2026-11-06 09:19:37
52
Niyonzima vanessa :
Diamond wetu Burundi tutakusapoti mpaka umpate na Zuchu huku huku Burundi
2026-11-06 20:43:32
43
lareineminah :
Burundi to the Dunia🤩🥰
2026-11-06 11:34:08
4
Zainab kebe🧕🏻🇲🇱🇨🇩✨ :
Kabisa Kijana iko vizuri kbs nakuombea ufike mbali labda unaweza kuwa Diamond w Burundi 🇧🇮 pole pole ndio mwendo courage🙌🏻
2026-11-06 14:02:48
25
Salhaty cosmetics 🧴👗🌸 :
Congratulations brother 🔥🤝 unajuwa na unajuwa tena 🥳🥳🙌🥰
2026-11-06 07:29:02
21
Zouuuh🌸 :
❤️🩹 Allah akutanguliye🥺✨
2026-11-06 07:29:43
28
Sammy Voice :
shamsia hii kwaajili yako umeniumiza umevunja ndoto yetu dah inauma 😭😭😭😭😭💔💔💔
2026-11-06 09:56:16
14
ugwigikundiro :
kurag sn bro
2026-11-10 21:05:58
2
🔥iQrah_Tole🔥 :
hivii kwanini kwangu alishindwa subiri🥹
2026-11-06 09:23:33
10
Mamy vannila clar🥰🫀🦋 :
Felicitation 🥰.allah akulind 🥰🥰courage 🙌
2026-11-06 11:32:53
6
shady_glam💄 :
Una itajika support kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-11-06 12:05:43
7
DIVINO1 :
keep working Brother
2026-11-11 07:46:06
1
KEY MWAMBAZI01 :
Cool my brother 🙌🇧🇮
2026-11-11 01:06:36
1
@The King Danny-B :
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tuko pamoja na ww bro 🫡🫡🫡🫡🇧🇮🇧🇮🇧🇮
2026-11-06 12:02:41
5
ipupa43 :
Taifa mabegani 🇧🇮🇧🇮
2026-11-06 07:54:45
6
kwa siri sanaa🤫 :
tumeumbiwa kupambana we pambana na hio ni hatua kubwa japo safari ni ndefu
2026-11-06 15:41:57
6
Bad Boe :
Daah jamaa anajuw kinomaaa💯
2026-11-06 18:45:05
5
Anitha anitha :
haki umeua jaman [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-11 11:56:17
0
bāby juli ❤️🔥🥰 :
ya Allah barik kipaji cha kaka yang 🥹😩🫡❤️
2026-11-06 17:28:17
5
💞it's saida💞 :
Jina la nyimbo
2026-11-06 11:24:14
10
Blessing Mcheshi :
UMESHINDIKANA MZEE🔥🔥
2026-11-06 08:58:54
9
Bella Nasra :
nilishangaa kujuwa km niwa kwetu buterr kwelii umejuw kbs nicee songs yani nyimbo naiskiyang marakumi kumi
2026-11-06 12:17:24
5
Mwami Wa Bana👽🇧🇮 :
Asante pia Mze atukuachi mpaka tuakikishe umefika
2026-11-06 12:33:48
5
MR NEVER GIVE UP🇧🇮 :
Burundi Vipaji tunavyo ila sapoti ndogo sana
2026-11-06 09:36:40
6
fidyat simba 🦁 :
kaka yangu kiukweli una ni suprise sn
najihisi kujivunia sn wewe mdogo wangu
still keep up my young 🌱
2026-11-06 16:02:53
6
To see more videos from user @buzzy.verse, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.