Watu wanaangamia Kwa kukosa maarifa. mijitu yote hiyo ni kelele tu na kujirekosi, haioni hatari inayokuja
2026-11-07 02:27:12
114
DOKTAR LANG'ATA :
duu Balaa ilikuwa ni mkowa gani
2026-11-07 07:27:14
5
Beatrice :
ooh Jesus Christ help us and forgive us our sins
2026-11-12 17:21:27
1
Missing my mum :
tunaitaka sisi kubwa zaid ile ya magar sisi
2026-11-07 05:39:04
27
Safia Feysari :
Allah tunakuomba utunusiru gharika zako YaaRabii hakuna wakutuonea huruma zaidi yako waja wako😱😱😱😱
2026-11-08 05:03:03
32
African 🌍 beauty 😍 :
mungu tunusuru na hili janga mwisho wetu huwe mwema
2026-11-08 03:41:08
10
houdahagil :
Allah atufanyie wepesi inshallah na atuhifadhi na kutulinda na mvua
2026-11-07 18:05:00
13
habiba@@ :
eeemungu tureemu ☺️☺️
2026-11-12 14:44:56
5
kherkalmina :
naombeni tu mniambie elnino imefika wapi nijiandae kuhama mtibwa kwamuda
2026-11-07 06:24:15
9
aminamajid63 :
Mungu anamaajabu mengi kwakweli. Majitu yanekusanyika hapo tukidhani ndio wanaenda kusaidia kuokoa nao wanauliza watu watatokaje. kumbe wameenda kupata picha.
2026-11-07 05:37:36
10
Selibaby :
hiyo si ikuje daaar jmn
2026-11-07 07:36:14
10
babyrey wa salim :
wap hii
2026-11-07 13:50:55
6
miss Ester :
Poleeni jmn mungu atunusuluu kwer na iii arii
2026-11-07 15:25:52
5
Lovenees :
jamani mungu atunusulu ety
2026-11-11 13:53:20
3
Sau'l Saydy :
Allah akbar Allah atunusulu kwa hili
2026-11-12 09:13:35
2
Radhia Radhia :
elinino ndo imeanza au nn🥰🥰🥰
2026-11-06 22:21:14
6
Adamu Turuku :
subhaan allaah
2026-11-06 22:43:03
7
mariam :
wp huko jamn
2026-11-07 03:12:38
6
Blaizo_tz :
Duuuu
2026-11-09 19:57:41
2
RABIA RIDO :
Allah tunusuru waja wkoo
2026-11-13 08:21:08
1
Rajabu Simba :
mungu.atunusuru
2026-11-07 17:43:10
4
emmylimo625 :
Huku n maeneo ya kule karb sehem ambayo Ankarnksoshshshdgvabnsnshd
2026-11-13 08:10:29
2
@Rose-mnyamwezi :
bado zamu yetu
2026-11-07 19:12:42
3
To see more videos from user @jonasraphael16, please go to the Tikwm
homepage.