@kusagatv:

MWANDISHI WA WANANCHI
MWANDISHI WA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 10:11:15 GMT
287059
17035
361
121

Music

Download

Comments

benadetarichard3
brm :
Ee mwenyez Mungu hebu muone huyu baba
2026-11-06 11:15:56
147
zed3550_
@zed🥰❤️ :
ndo mtuzimie network 😳
2026-11-06 12:00:28
99
kamati.ya.roho.mba
kamati ya roho mbaya :
tufanye yote lkn tumbuke duniani siyo makazi yetu, tufanye yanayompendeza mwenyezi mungu
2026-11-06 12:05:43
66
user5879953325806
user5879953325806 :
I love you baba
2026-11-06 19:51:55
0
jbrasaliyawalembo
mm 45 :
mungu atakutoa jela
2026-11-06 11:15:32
36
kihanda.malunde
Kihanda Malunde :
naamini mungu yupo
2026-11-06 15:18:07
0
king.von74764
@men alone :
One day yes😞😞
2026-11-06 12:22:57
0
violla.peter
Violla Peter :
long life free Dom fighter 💪
2026-11-06 15:10:22
0
mzee8181
mzee :
je,kwa kosa hilo inapaawa alipe faini ya tsh ngapi?semeni tuchange ili mh Tundu atoke,binafsi niko tayari kumchangia ili atoke mtetezi na mkombozi wa Tanganyika yetu.
2026-11-06 13:49:54
6
tumaini.total.njir
tumaini total njiro :
tutafika tu
2026-11-06 10:17:39
7
sube.kichure
Sube Kichure :
👍👍 love you
2026-11-06 18:46:11
0
chunerbeib78
💕 0fFiciaL Hu.!L0vE 💕 :
Mungu anaona kila kitu 🙏 Binadamu wanaweza kuhukumu, lakini hukumu ya mwisho ni ya Mungu.💔😭 Allah aendelee kukutia nguvu ya kupigania haki💪
2026-11-06 12:44:01
9
user9923610122833
user9923610122833 :
kwa mujibu wa sheria ya Tanzania huyo jamaa haruhusiwi tena kugombea kitu chochote hata ubalozi wa nyumba kumi
2026-11-06 14:08:13
5
zephaniamtangoo
zephaniamtangoo :
Mwamba
2026-11-06 15:05:25
1
nasmamwiru221
nasma mwiru :
ila huyu. angekuaga rais tungefika mbali sanaaaa🫡
2026-11-06 19:18:41
5
rose838535
rose8 :
sawa yote kwa yote tukumbuke maandiko matakatifu Daniel nabii wa mungu ali alitupwa katika tundu la simba lakn kwa uwezo wa mungu alitoka bila kuraruliwa na simba .Yusuf alitupwa na ndguze bila kosa lolote kwakuwa akuwa na kosa bado mungu alimtetea na kumuinua.ivoivo lissu kwa uwezo wa mungu atakufanyia uepesi
2026-11-06 15:17:09
1
user7112431962563
Babeee Gylee❤💍 :
dah. Munguu akulinde na akutunzee Baba 😩🥺
2026-11-06 11:45:25
8
grory16
user5740730143430 :
amina tutafika kwa nguvu ya mwezi mungu
2026-11-06 11:34:18
14
mariamomary598
Mariam Omary :
mungu hamuachi mja wake kwakua yupo upande wa haki
2026-11-06 11:38:31
7
dorcuselias905do
dorcus elias :
mungu yupo pamoja nawe nakuombea sanaa babaangu
2026-11-06 11:01:18
5
neemaamos115
Neema Amos :
mungu atakutetea naamin baba
2026-11-06 19:54:43
1
official.bertha2
smile 🥀💋 girl🌺❤️💐 :
me tundulisu nae ananikwaza
2026-11-06 14:04:12
0
doli.sawanga3
Magala ge nyimvwi💘 :
lazima tufike tuu kiongozi wetu tunakusubr man sio mda tuu kuhesabu uck na mchana hapo ni miaka miwili tuu baba ukiwa huko jua kbc kua sisi wanao tuko pamoja na ww na tunakusubil pia wameona wakikuachia moja kwa moja ni aibu ndo man wameona wazuge kwa hiyo njia kukupa miaka minne baba
2026-11-06 16:11:05
1
abubakarzahoor659
abubakarzahoor659 :
Jelaaa oyeeeeeee
2026-11-06 15:03:50
1
rihanna20521
Rihanna💋❤ :
Kikubwaa mdaa hausimamii mnajitahidii sanah kumfanyiaa mabayaa lkn mmesahau aliye upandee wake ni mungu mweny nguvu
2026-11-06 17:00:23
2
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About