@yerickonyerere: Kifungo cha Lissu cha miaka minne jela si haba, Atatoka akiwa na adabu. Nchi ina sheria, na nchi ni Huru. Vifo vya Ndugu wa Watanzania 518 angalau wamefutwa machozi.... Sasa ni zamu ya Heche na wote waliohusika katika uchochezi huu kukamatwa na kufungwa. Na Yericko Nyerere

Yericko Nyerere
Yericko Nyerere
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 10:55:50 GMT
31234
555
135
20

Music

Download

Comments

observer_philosopher
Observer :
Imagine hata huyu alikuwa anaaminiwa ndani ya Chadema
2026-11-06 12:16:51
5
medy.killer
Meddy Killerpro 🎸 :
Kwani aliechochea na alietoa oder ya watu kuuliwa nani mwenye kesi mkuu
2026-11-06 11:33:03
7
aminkisilo
kingsilo :
article of no comercial value
2026-11-06 14:55:06
0
sir..dio
Sir. Dio :
What goes around comes around
2026-11-06 15:18:19
0
abuwjuhaymah
Abuw Juhaymah :
Hapa ndio utaelewa kuwa huyu Mama anahuruma sana... Sikwamba Lissu hakuwa na kesi ya Uhaini hapana alikuwanalo ila hakukuwa nahukumu tofauti nakunyongwa na Maheshimiwa Rais hakutaka anyongwe nandiomana wakashughulika na kesi ya UCHOCHEZI nakilochotokea ndio hicho narudia tena kusema Mama anahuruma sana
2026-11-06 12:40:04
2
jordanaudreylema
Beberu mzalando :
msenge kweli ww
2026-11-06 11:27:06
7
mkush911
Mkush :
Ukiwa MPUMBAVU, mara zote kuwa makini sana na ULIMI WAKO
2026-11-06 12:31:01
7
user1753058115629
jacob mwali2ke :
we jamaa ni bora ukae kimya,nilikuwa nakuona una akili kumbe ni mpuuuzi sana,huna tofauti na wajinga kama wajinga wengine
2026-11-06 11:32:41
6
patrickdaud3
Patrick :
Nilikuwa nakuona mtu mwenye akili kumbe wewe ni wa hovyo sana
2026-11-06 11:58:45
7
bwana_samaki
baba_charity :
Aisee, naona aibu kukutazama 😏
2026-11-06 14:27:59
1
nchiyetuaukifotutashinda
Ncha ya Mkuki :
shoga banaa unakimbiliakutengeneza content kwenye Kila kitu
2026-11-06 13:55:50
1
alexmbwambo908
Alex :
acha kujidhalilisha mkuu
2026-11-06 11:29:02
2
mwamba07177576
mwamba :
yupo mungu wa hakki
2026-11-06 13:45:52
1
the.mrutumuhidini
THE MRUTUMuhidini yassini muhi :
unahisi hivyo 😂
2026-11-06 12:42:19
1
user1348219517161
yassin Saleh nassoro :
haya yote yana mwisho
2026-11-06 15:22:39
0
diahquan
DiahQuan :
Hovyo sana
2026-11-06 15:36:04
1
davex976
Davex :
Lisu hajachochea watu, changamoto ndizo zilizowachochea watu,,,watanzania siyo wajinga hivyo
2026-11-06 15:18:45
0
agy.mgaya
Annie :
hy ndo baba wa familia jamani
2026-11-06 15:45:49
0
ally247059
simba :
pongezi san kwa serikar yangu
2026-11-06 11:58:38
4
edward.assenga1
Edward Assenga :
lisu alimuuwa nani
2026-11-06 15:01:25
0
paretv7
Di lorenzo💰 :
Alichochea nini na mmeshinda kwa 97%
2026-11-06 14:53:44
0
malley2jr
malley pgm :
msitegemee Kuna mboe Wala lema mkitegemea MTA ingia chadema
2026-11-06 15:56:09
0
sleyyum.omar
Sleyyum Omar :
asante mungu kwa hichi kidogo kwetu kikubwa, asante mungu 😁😁
2026-11-06 15:05:26
0
adirumakoke
adirumakoke :
cheo oyeee
2026-11-06 15:17:29
1
mkulima58
mkulima :
wew kubwa jinga kweli chuki zinakutesa
2026-11-06 11:06:18
0
To see more videos from user @yerickonyerere, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About