@cawabemedia_: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa leo, Novemba 6, 2026, na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru. Akisoma hukumu hiyo, Jaji Ndunguru amesema mahakama imezingatia kuwa Lissu ni mkosaji wa mara ya kwanza asiye na rekodi ya makosa ya jinai, lakini mazingira ya kosa yameifanya mahakama kuona kuwa adhabu ya kifungo inafaa zaidi kuliko faini. Mahakama imeeleza kuwa kuhamasisha kuzuia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu ni kuingilia haki za kikatiba za wananchi wengine. Hukumu hiyo imetolewa baada ya Lissu kukaa mahabusu kwa takribani siku 577 tangu alipokamatwa Aprili 2025.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 10:58:22 GMT
140191
10938
233
150

Music

Download

Comments

nasry.mashauri
nasry mashauri :
huyu mzee anachukua nchi
2026-11-06 11:34:27
109
chuji.product
ChujiProductTz :
Unaowapigania Hawajitambui…😂🥹💔
2026-11-06 12:34:49
32
_ms_.nipher
Nipher Kids Dodoma🛍️🥀 :
Baba imepangwa na hakun wa kupingua at 2030 utakuw hai na utaingia Madarakani 🥹 we love you papaa na tunakuombea uishi miaka mingi we ni mtu wa MUNGU apo unatembea n risas na bado unaish we ni wa kwethu bab tupo n wew mpk mwisho love you ❤️❤️❤️❤️🥹
2026-11-06 12:32:59
64
ibrahim.samwel29
Ibrahim Samwel :
Shujaaa.. wetu Wamuda wote……✊💪
2026-11-06 12:38:57
30
itslynah02
Lee🎀 :
mpumzshen baba wa watuu😪
2026-11-06 12:01:02
39
ruben.ruben0370
Ruben Ruben :
allways miss you jpm forever 😭😭
2026-11-06 11:45:02
8
ccleo12
Cc leo :
Rasta's siku zote tunasimamiaga ukweli na haki ✊🏼 Tupo nyuma yako Mshua 🫡
2026-11-06 11:50:44
32
ammy.ake
Ammy ake :
mi nimwana CCM kindakindaki lakini kwahili naanza kukichukia chama taratibu 😭😭😭😭😭
2026-11-06 13:34:35
11
moluktnassa
happiness :
MUNGU siyo kipof kwamba haoni si kiziwi kwamba haskii atafanya Kwa wakati wake atawalipa waliomtendea huyu baba sawa sawa na matendo yao
2026-11-06 12:13:33
22
cheerhny255
cheerhny :
Wewe ni raisi wetu tu mwaya
2026-11-06 12:34:01
13
issakapetro
Newton Officially 96 :
Ahsantee saaana kiongoz wangu
2026-11-06 11:27:57
17
benmcamos
♀️It's 🌴🌴BENMCAMOS🌴🌴 :
real man always live long life we are appreciate you forever
2026-11-06 14:05:40
0
user8321041321572
BOOKS 📚 📖 :
Truth maybe an offense its never a sin✊️✊️
2026-11-06 14:01:26
0
flavian729
@#@# :
hata Yesu alihukumiwa kwa ajili yakupigania haki za wanaadamu mungu Akusimamie BABA
2026-11-06 12:04:01
16
bether.james7
sure :
😥Mungu akutie nguvu kaka yangu
2026-11-06 12:07:00
7
saliha28531
saliha28531 :
One love
2026-11-06 13:29:28
0
nyamisi11
Nyamisi :
painful to accept 😭😭😭🙏🙏🙏
2026-11-06 14:03:47
0
jayz.nkovich
Jay~Z Nkovich :
freedom fighter
2026-11-06 12:19:02
0
yasyln19
yasyln :
mwachieni baba wa watu jaman😭😭😭😭😭😭
2026-11-06 12:20:32
9
_bby_fetty
bby fetty :
Ni kweli.kabisa ukisema ukweli unaonekana mbaya mungu akupiganie Kamanda Lissu
2026-11-06 12:04:27
7
neema.sinduka
Neema Sinduka :
mungu. akutetee
2026-11-06 11:15:02
5
gwantwaasukile
madam Gee :
lisu anatufundiaha ujasiri katika mambo magumu Utakua huru soon baba
2026-11-06 12:41:56
7
misspendoh
Trizzah🖤❤️‍🩹 :
duuh.. ipo sku ukwelii utaonekana hata kama ni kwa kuchelewa😳😳🥰
2026-11-06 11:50:43
6
princess_leah051
Princess_leah. :
😭😭kwann wanakufanyia hivi hata Kama wew ni meikuta history yako wakisema umefungwa jera msamaha nao unahitajika Ndy mana mangufuli Ali wasamehe wafungwa na akawafanya kuwa hulu ili waka kae na my family 😭😭😭😭
2026-11-06 14:43:34
1
lewiswangole6
lewiswangole762 :
mwamb wetuuuuuu respect san
2026-11-06 13:49:07
3
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About