@infokool_solution: DIID YOU KNOW? AC YA KWANZA ILITENGENEZWA MWAKA 1902! Mhandisi wa Marekani, Willis Haviland Carrier, ndiye aliyevumbua mfumo wa kwanza wa kisasa wa Air Conditioning. Lengo lake la awali halikuwa kupoza nyumba au ofisi, bali kudhibiti joto na unyevunyevu kwenye kiwanda cha uchapishaji. Baadaye, teknolojia hii ilibadilisha maisha yetu na kuwa sehemu muhimu ya majumbani, maofisini, hotelini na kwenye majengo ya biashara. Kutoka kwenye viwanda hadi kwenye maisha yetu ya kila siku. Hiyo ndiyo nguvu ya teknolojia! Ungependa kufahamu zaidi kuhusu mifumo ya AC na HVAC? Fuatilia Infokool Solution kwa elimu, tips na suluhisho za kitaalamu. 📞 +255 766 578 914 🌐 www.infokool.co.tz 📍 Sukari House, Ground Floor, Posta, Dar es Salaam Infokool Solution – Feel Comfort With Us! #DidYouKnow #AirConditioning #HVAC #ACFacts #InfokoolSolution

Infokool Solution|HVAC Experts
Infokool Solution|HVAC Experts
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 11:19:30 GMT
49
1
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @infokool_solution, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About