zanzibar hakuna mwendo kasi kuna bus za abiria2 mwendo kasi sipo bongo2
2026-11-07 05:51:57
23
user5719714372963 :
jaman sisi wazanzibar hatuna mwendo kas tuna mabas ya abiria emu tuamke tusilale mwendo kas ni lazma ziwe na barabara ya kupita mwendo kas haina kukaa foren
2026-11-07 08:44:48
11
lovely girlโฅ๏ธ :
Zanzibar hakuna Mwendokasi bhana
2026-11-07 14:07:28
0
bin issa ktchen dish :
zanzibar hakuna mwendo kasi Kuna magari ya chaji usiogope kusema
2026-11-07 07:10:44
8
๐ฆsh@my๐ :
apo kuna mambo hayaโ๏ธ
2026-11-07 07:36:54
6
Ahmad Zahor :
M nashangaa gari za mwendo kasi si zina njia zao pekeyao? iweje yachanganyike na njia ya pata sote?'
2026-11-07 03:10:06
10
Mbucha Cars Light Shop Paje :
Heeeeeeeh ๐๐๐๐๐๐๐
2026-11-07 11:45:14
1
bacha Jr.๐ฅ :
Ana sifa uyo akiona madem
2026-11-07 16:11:13
1
Zavryon :
kwa nn umemtaja Mtu kwa kabila lake Badala ya Jina? unachuki na wahindi au? angego ga Mtu mwenye asili ya Pemba ungesema mpemba?
2026-11-07 03:34:18
9
Abe :
kesi ya uhaini hii sasa๐๐๐
2026-11-07 11:04:41
2
mattar said :
huo ni mwazo tu ๐
2026-11-07 10:34:02
2
BABA MALYUN :
mbona hio gari inaonyesha imeumia mbele alafu hilo bus limeumiq pembeni ajali hy vp hapo tena au wamemgeuzia kibao
2026-11-07 08:38:04
2
winer ๐ฆ๐ค :
Baiiyaa baiyaaa kuchneh hogaa๐๐๐๐
2026-11-07 08:42:34
0
D.e.L.a๐ซถโค๏ธ๐ซ :
Kesi ishakuwa ngumu
2026-11-07 09:04:32
0
SNIPER TZ๐น๐ฟ :
hiyo ajari imetokeajana talehe 6 November huyomwenyegar ndogo alikuwa anatoka njia yandani so hakutizama kuliakwakwe akaivamia bus ubavuni hilobambas unaloliona limeanguka ilinasa paleunapoona wanachungulia so ila bus haijahalibika kilaanaekuja anauliza bus imeumiawap
2026-11-07 08:48:08
1
user1917443936573 :
Uwiii Serekali๐
2026-11-07 06:03:53
0
MASTER PLANโจ :
๐๐๐๐
2026-11-07 04:14:49
0
Good luck :
iyo ni gari ya umeme sio mwendo kasi
2026-11-07 04:46:20
0
eduwad nyoni :
Kaisha uyoo๐๐
2026-11-06 21:37:45
1
Yasbil A Naseeb :
ana kikao na ba hussein
2026-11-07 12:35:15
0
mamy๐ :
kumekuchaa
2026-11-07 07:25:39
0
Ahmed Alawy :
sehemu. gani. hiyoo
2026-11-06 20:57:38
2
โก ๐๐ฅ๐๐๐ซ๐ญ๐จ ๐ :
2026-11-07 05:34:33
0
To see more videos from user @kamama.jojo1, please go to the Tikwm
homepage.