@pesakwaakili: Kujenga au Kupangisha: Kipi Kinafaa Zaidi? . . #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzania #tiktoktanzania #pesa #biashara

Pesa Kwa Akili
Pesa Kwa Akili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 12:29:30 GMT
24503
1112
30
64

Music

Download

Comments

lakbaby
Tiffer💕 :
Ningechagua kukaa nyumbani aaah 😂🙌
2026-11-06 16:24:58
2
hawa26086
❤️Hawa❤️ Hussein ❤️ :
mm kujenga nyumba yangu binafsi
2026-11-06 16:45:18
3
sceb23
Sceb23 :
Mie hata kama Nalipa kodi milioni 5 sio issue. ili mradi naimudu
2026-11-06 17:17:38
2
kklhhhhkk
ROI BELGE ISSA :
unajua kk kupanga ni kuzuri ila changamoto uhuru o mtoto asijambe kosa choo kisichafuke unawekewa sheria kali ahh bora kwangu nikipata pesa nyingine nitajenga
2026-11-06 18:16:42
1
ubarozin_outfit
ubarozin_outfit :
Kupanga 💯
2026-11-06 12:39:33
6
user732709473916
Elia fulenki :
kujenga
2026-11-06 17:35:13
1
billy.linus8
Billy🔞⁉️ :
Inamaana iyo lak 3 kwa mwez hauli hauvai na nauli maitaj
2026-11-06 12:51:06
4
meimos03
The One :
Mtaalam nikikutafakari kwa kina una kitu
2026-11-06 14:10:52
1
bestkessy526
#Best :
ninge pangisha na pesa nyingine ninge nunua hisa Kila mwezi hisa zita nipa fada ya asilimia 13 kwa mwaka na huku zinaweza kupanda muda wowote Niki wekeza miaka 5 naweza kujenga nyumba na Nika Baki na hisa zana nizalishia kila mwaka
2026-11-06 14:45:57
1
zenuu.stationary
Zenuu Stationary :
najenga napangisha kisha mi napanga chumba cha gharama ya chin zaidi
2026-11-06 15:26:26
1
jagwasonee
Jagwa pow :
respect mkuu kwa kutii elimisha
2026-11-06 12:52:45
1
de_cruise28
_mac04◇ :
naomba mchanganuo kama mtu anayeamua kuanza na biashara ya real estate ni kias gan labda anatakiwa kuwa nacho na pia faida yake ikoje🫴
2026-11-06 13:39:55
1
mevlan_tz911
Mevlan_tz :
Thanks🤝🏽
2026-11-06 12:35:51
1
dullahdullah1212
12345 :
kupanga
2026-11-06 14:19:22
1
josephnizeye798
Joseph Nizeye :
kupanga
2026-11-06 15:16:13
1
mrs.erick6
Mrs Erick :
kujenga
2026-11-06 13:05:53
1
mariam.julius75
Mom lan❤️ :
Kujenga
2026-11-06 13:05:08
1
abasibonge331
Abasi bonge 100 :
ukiwa Mzee af Bado umepangisha mtihani
2026-11-06 15:03:26
2
simbamasaga
Simba Masaga :
uwakiak
2026-11-06 15:22:29
2
To see more videos from user @pesakwaakili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About