@bbcnewsswahili: Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu kifungo cha miaka minne gerezani baada ya kumkuta na hatia ya kosa la uchochezi. - @martha_saranga anaelezea kwa kina - - #bbcswahili #tanzania #tundulissu #chadema

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 12:47:59 GMT
77856
3819
99
52

Music

Download

Comments

salemclean
salemclean :
Ana ushawishi Mkubwa bila Kukaa miaka 4 Ndani Anaweza akachukua Nchi 🤣 Huyu
2026-11-06 14:04:44
18
patrickstar_1979
patrickstar :
atatoka jela 2030 hapo me nishaelewa
2026-11-06 12:57:45
20
michakatonoah2
Mr Noah :
haijaeleweka alihukumiwa kwa uhaini iweje afungwe kwa uchochezi
2026-11-06 13:46:56
10
mussakisalu
mussa kisaru paresoi🇹🇿 :
CCM mungu Anawaona jaman
2026-11-06 14:09:36
2
stanleysafec
Stanley Safe🦅 :
2030 kazi ipo😁🙌
2026-11-06 13:25:55
1
cool_beetz
coolbee tz :
Alikuwa na kabiliwa na kesi ya uhaini anakuja kufungwa na kesi ya uchochezi hii kweliii😅
2026-11-06 12:56:27
7
sapwito6
Fundiwao :
Free Tundu Lisu Tanzania 🇹🇿
2026-11-06 13:51:26
3
richngowi
RICHARD NGOWI :
The whole world is watching.
2026-11-06 13:56:58
1
zacknation.com3
zacknation.com3 :
kama kuna rufaa na faini semeni tupo tayari kuchangia faini
2026-11-06 14:07:43
3
johnkapallo
John Kapallo45 :
nyinyi BBC mnasaidia nini kwenye hili
2026-11-06 13:33:06
1
chusse07
CHUSSE JR :
imagine ukumu ya lisu Airtel wamezima internet njiani unakuta gari za police yaan dah ni HUZUNI ila all in all mungu ni mwema
2026-11-06 14:50:42
0
depayboytz
EddoTz :
serikali ya ajabu sana hii wameona kutoa ukumu ya kunyongwa kwake kushindkana wameona wamfunge miaka mnne
2026-11-06 13:00:22
5
user5026699050869
Rucresha :
YESU anakuja muda umekwisha jamani
2026-11-06 14:01:48
0
kunta858
DULLAKUNTA 🌙🌙 :
nijitaid mpka awe ametok niwe nimeoa na niwe ata mtoto inshallah
2026-11-06 13:44:52
1
nelly_wizo_officialltz
nelly_wizo_officialltz :
Wangemuongezea tu! Amesababisha tumepoteza ndugu zetu tena vijanq wa
2026-11-06 14:23:34
1
unyakuo.255
JESUS IS COMING :
sema huyu dada ni mzuri mmhh
2026-11-06 13:56:12
1
msmello1
🧿☘️ :
Tanzania Hapana hii nchi imezidi wallah huu uonevu
2026-11-06 13:30:17
0
kabous609
KABOUS :
anastahiki adhabu..mm nilikuwa nataka afungwe miaka 30
2026-11-06 13:49:56
0
pablo005256
PABLO,,05 :
so akitoka uchaguz tyr
2026-11-06 13:25:04
1
van_dee_mwiba
VAN DEE MWIBA👑 :
😭😭😭
2026-11-06 12:57:57
1
mtishamdeemdee
mtisha mdee :
dah asee vijana tanzania tumeumia moyo sana
2026-11-06 12:58:26
1
mande3018
mande :
Sasa kosa la uhani ni miaka 4 au me sijaelewa
2026-11-06 14:22:54
0
user0774373430
Ely :
TANZANIA KIKUBWA UZIMA2[Vergüenza]
2026-11-06 15:54:29
0
yasini615
yasini :
tutafika tuuuuuu🙏
2026-11-06 15:35:16
0
abimearubanda
abi :
nachoka mm
2026-11-06 13:15:35
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About