@damwaju01: #Bismillah mashaallah🤍🙏 MASJID AL-GHAITH 🕌🕋 The mosque has been opened alhamdulillah anaa muslim🙏🤍

Jujuh 🦋💦
Jujuh 🦋💦
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 12:51:37 GMT
62873
6933
214
122

Music

Download

Comments

kipusaog96
KIPUSA OG96 :
SIKU NIKIWA TAJILI NA MIMI NITASHILIKI KUJENGA MSIKITI MITHILI YA HUU INSHA ALLAH
2026-11-07 05:26:22
54
karimjuma925
Abdulkarim :
upo kwa wapi
2026-11-06 17:57:43
2
shkopa.majid
Shkopa Majid :
mskit upo maeneo gan?
2026-11-07 02:44:22
6
arfh0793
*أرفه* :
msikiti mzuri niwa shinyanga masjid al salaam
2026-11-07 09:14:21
8
user8528325148517
zuylah wa G :
mimi nikiwa na hela nitanunuwa mazulia ya msikiti mungu anijaalie nipate ridhki ata kdg tu
2026-11-07 08:51:11
8
mwanahamisi.zuber8
Mwanahamisi Zuberi :
mashsallah
2026-11-07 16:08:22
0
ismailmbilu
MR.MBILU TZ :
Upo mkoagani huu msikiti kuweni serius [Pray]
2026-11-07 16:02:55
1
user110786733035
isack kileo :
chini ya kampuni yangu pendwa ya ,pgs security company ndioo wenye dhamana ya kulinda huu msikiti nyumba ya Allah ya kumswaliaa mtumeeee.....👏👏👏👏🙏🙏
2026-11-07 17:55:21
1
latifajumah810
latifajumah810 :
morogoro mjini au msikiti ulipo
2026-11-07 17:48:45
0
user9837438117780
user9837438117780 :
Morogoro yetu
2026-11-07 14:24:06
1
amrympeka62
𓂀$2𝐾𝑍𝑍𝑌☠︎︎ :
Mashaall
2026-11-07 10:00:50
0
user3434491221190
Zai mpenja :
Hii xii madizini maeneo ya shule ya mchikichini
2026-11-07 19:15:21
0
sammy.abdallah
Sammy Abdallah :
napajua hapa maeneo ya Magereza
2026-11-07 18:40:53
0
mohammed_khan163
Mohammed_khan163 :
KUMBE NAWEWE ulikuwepo sijakuona jmn
2026-11-07 18:24:19
0
maryammassenga3
Mariam masenga :
Ijumaa ijayo wa kwanza mm nimeumia sn kukosa jana wallah😭
2026-11-07 10:57:54
0
runjaina.teresphor
Runjaina Teresphor :
Moro kwa miskit tuu wapo vzl sanaa
2026-11-07 08:25:42
5
zash_outfits7
Zash wear & bags👜👗 :
Mashallah, jana watu wakapewa na biryan😋
2026-11-07 10:56:44
0
aryatembo
aryatembo :
MashaAllah
2026-11-07 13:15:16
1
ismailmbilu
MR.MBILU TZ :
hakuna mwenyeji apo karibu eneo hili minipo dar nataka kufika apo
2026-11-07 16:43:55
0
babsuma68
babsuma :
masha Allah
2026-11-07 07:49:58
2
jojokisura
Jojo makeup :
mmefaid jmn mpka napataman
2026-11-07 11:23:14
0
kato7172
Kato :
manshaaa lllaa msikiti mzuli sana upo mji kasoro bahari morogoro
2026-11-07 13:59:00
0
user5148387739948
damiani :
Name of song☺️
2026-11-07 13:59:44
1
witneccgasiano
💔 witiness💔 :
ira moro mashaulla maan wengi wanasema mor bd lkn Kuna vitu va Saman San 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-07 08:42:47
2
rajabulutindi
Cassablanca 333 :
siku moja insha'Allah nitaswali apo🤲🤲
2026-11-06 21:05:58
1
To see more videos from user @damwaju01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About