tajiri mussa mashinee akiwa na mwanamke Ibrahim mussa. mussa+mussa= hekima busara 😎🤏 ☺️☺️
2026-11-06 13:36:25
4
༒☬JOVASU☬༒ :
ahaa wazee sikia ivo ivo
2026-11-06 13:55:10
1
MAN OF GOD MBEZI :
Tumpate wapi tena mtu mwema namna hii jamn wapendwa!?we Baba umebarikiwa sana...na kabla hujaiona mauti...UTAMILIKI SANA NA UTAJIRI UTAUONA.NMETAMKA HAYA KWA JINA LA YESU...NA KAMA YESU AISHIVYO...YAKAKUPATE.Amen.
2026-11-06 16:40:18
2
OLESI OMBOKA :
mzee una kitu nikiwa mkubwa niwe kama weweee
2026-11-06 13:13:03
4
chacha :
kama vile vileeeh
2026-11-06 17:37:00
1
Fuasa Focus 123456 :
kaka natamani uwe ndugu yangu kabisa....!
2026-11-06 16:39:42
1
shelbylove :
bgp sana mwamba mungu akupe maisha malefu
2026-11-06 13:15:09
2
Hosana :
jambo jema sana kaka
2026-11-06 13:01:49
2
ngwala boy..,💪💪 :
mwamba mussa
2026-11-06 13:24:49
2
robertmwinyi31 :
baba yangu wa ubatizo uyoo.
2026-11-06 17:50:23
0
James billionaire🇹🇿 :
daaa yan hii ya wachache sana
2026-11-06 17:56:17
0
William JM :
Ubarikiwe!!! wachache sana wana moyo kama wako!!! Kuna kesho!!
2026-11-06 18:19:17
0
mama derrick 💓💞💞 :
kweli kabisa
2026-11-06 13:00:25
2
amosi :
vizur sana
2026-11-06 17:59:55
0
Mr Ben :
huyu ni mimi kabisa
2026-11-06 18:10:53
0
SHIKOME 🌴 :
mzeee wangu una tabia ya mungu ishi sana
2026-11-06 17:58:52
0
user734116076774 :
Nikweli
2026-11-06 17:16:31
0
kenzo :
nakubari mxhua
2026-11-06 17:29:05
0
Madukikaya :
safi sana mjomba
2026-11-06 17:20:28
0
lzack :
unaakil sana mkuu
2026-11-06 17:25:28
0
josephu suzuki :
Mambo
2026-11-06 17:34:22
0
, :
hongera zako kwa moyo wako kaka
2026-11-06 17:30:27
0
user4023340236377 :
sawa wakwetu
2026-11-06 14:11:00
0
To see more videos from user @ibraah022, please go to the Tikwm
homepage.