@felixwuodkasipul: BREAKING NEWS: Paul Mackenzie, sentenced to 200 years in prison for murdering 191 people in Shakahola.#paulmackenzie #Shakahola #breakingnews #Trendingnews #viralpageforyou
🇰🇪MC FELIX KENYA✅
Region: KE
Friday 06 November 2026 12:58:49 GMT
Music
Download
Comments
legend man :
niko 19 years but iyo time. niko sure c takuwa
2026-11-06 14:36:15
10
Joy🥰Be💕 :
kwa akisemewa najua awezi rudia tena jamani
2026-11-06 14:33:24
5
baby dee :
huyo atakufia prison
2026-11-06 15:18:24
2
CATE JOJU :
the same system will release him after spending there for only 2 years😌 corruption in the system
2026-11-06 15:31:47
0
gillian 🌹♥️🫶 :
weee hyo atakufia prison🥺🥺🥺🥺🥺
2026-11-06 15:58:01
0
hellen lagata :
200 years. weee
2026-11-06 15:16:18
0
Praxedes Ochieng :
200years surely? Who can leave all those years.
2026-11-06 15:39:35
0
@Sparkling soul 💯💞🤝 :
na hivo ndo maisha iliisha 🤔🤔🤔
2026-11-06 13:49:50
4
ppk drive :
life sentence
2026-11-06 15:38:23
0
❤️❤️Baby ❤️ Silver ❤️ N🍼 :
Kwani atafikisha 200yrs muko sure
2026-11-06 14:51:19
2
Catherine zainabu Nzoka :
miaka 200wat on earth
2026-11-06 13:57:57
1
Fifi🥰👩🏼🦱 :
200 for what
2026-11-06 14:07:57
1
Mr Rono :
mwenye anamfunga Ako lez than 30 years aende pia
2026-11-06 15:08:54
1
💥❣️Miss Right❣️💥 :
rip sitakua
2026-11-06 14:14:27
1
ma neema💕❤️ :
ghai
2026-11-06 13:46:32
0
🎀Young billionaire kabeby 💵✅ :
wangesema maisha acha mia mbili😳kuambia mtu direct pia n shida ☹️🥺🥺
2026-11-06 15:26:58
1
Mackenzie❤️🫶🥰 :
mtakua kweli
2026-11-06 14:58:46
1
Sarah wanjala :
iyo tyme ctakuwa
2026-11-06 14:17:38
1
kosgei jk :
which means anafungwa mwaka moja kwa Kila then hyo 9 ni ya government 😁
2026-11-06 13:55:33
1
miss D💕💞 :
maaajabu
2026-11-06 13:39:12
1
Muranga Mbaruku :
@kutakuwa na dunia kweli
2026-11-06 15:37:47
0
newto furaha :
soo in total kila MTU aliye kufa ni mwaka moja?
2026-11-06 16:07:23
0
Zorah Jay💖 :
hio si mseme tu life prison
2026-11-06 16:00:21
0
John Karis :
atazikwa 200 years zikiisha ama Rada ni gani. juu akienda sana amebakisha 60 anyorye
2026-11-06 15:50:22
0
MOKOGOTI 💓 :
so hiyo 191 ni ya wale aliua na hiyo 9 ya juu ni ya wale alitesha lakin hawakufika kukufa
2026-11-06 15:49:47
0
To see more videos from user @felixwuodkasipul, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.