@pagija_1: Vijana wengi wanapumua lakini uhalisia wengi wao ndani wamekufa Kwani mtu hufa baada ya kupoteza imani yake ya kutimiza ndoto zake na kuhisi ndoto zake zimezimwa! Ndio mana wengi huishi wakienda huku na huku bila kuwa na malengo Ila kama bado unapumua usikate tamaa unaweza bado kutumiza ndoto zako Vinavyokukwamisha kufikia malengo yako Vichukulie kama changamoto!! Usikate tamaaa Cw:: @kanivotz @boy jaguar @Tinnha shoes collection :: 🎥 @NGOWE_