@seth.jacob88: 🍅🔥 BLOSSOM END ROT: KWA NINI KITAKO CHA NYANYA KINAOZA? Umewahi kuhudumia nyanya zako kwa gharama kubwa, zikazaa vizuri, lakini matunda yakaanza kuoza kuanzia kwenye kitako? Tatizo hili linaitwa BLOSSOM END ROT. Je, unajua nini hasa husababisha tatizo hili? Kwa nini linaweza kutokea hata kama umeweka mbolea shambani? Katika video hii tunajadili tatizo hili na namna ya kukabiliana nalo kwa kutumia mbolea zenye Calcium, ikiwemo: 🌱 Calcium Nitrate (Kynoch). 🌱 YaraLiva Nitrabor. Pia tunaangalia umuhimu wa Calcium katika ukuaji na ubora wa matunda ya nyanya. Usikose kutazama video hii hadi mwisho. Huenda kuna jambo muhimu ambalo umekuwa ukilikosea kwenye shamba lako! SHAMBA SMART – LIMA SMART! 🌱🔥 #ShambaSmart #TomatoFarming #BlossomEndRot #creatorsearchinsights #createsightinsight