Kisasi cha usaliti kinalipwa na usaliti yaan unisaliti nikuache salama ubinadamu huo me sina
2026-11-15 09:40:15
25
YASMIN👸THEQUEEN :
Kwanza mimi hadi najiogopa yaani nina receipt na sijuii kuachilia kitu yaani hadi balaaa
2026-11-06 21:26:49
34
NELLY FASHION :
Aishiii mpka iisheee 😁
2026-11-08 04:56:33
13
mcmary01 :
Haiwezi
2026-11-16 19:46:24
1
swafat chala :
nimeplay hii kwenye sabufa sauti iko 90 na mume yuko pembeni Asante madame Leila [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-09 19:08:55
7
user7195549734145 :
mume wangu alimwambia mchepuko... babe wife anajua nko na wewe bt hana shida [Tears of joy][Tears of joy] yan ujue anakucheat na usiwe na shida kwel
2026-11-16 20:59:29
1
ashareana :
Wasema kweli mm sisahau hata cjui nita fanyaje ili niweze kusahau
2026-11-13 19:06:53
0
Khadija Sultana :
ni kwel kbx maana daah!
2026-11-07 17:56:40
10
mamyy :
Me mume wng angeniach ty wallwah man kun mud najikaz kuchek nae ila cjamsameh wallwah,ila hap kweny kumsalit nd ciwez lbd kibur ty yan had najiogop,,hat cik mama ang akaambiw nimekuq kibur,mjeur bil shaka atakana mar buk maaan hana mashaka na malezi yake kwang
2026-11-08 11:43:35
5
Victoria Mallya :
mi haiishi mpaka iiishe
2026-11-08 12:14:55
2
thisismona_🌹 :
ukweli mtupu
2026-11-07 10:49:28
3
Gikomba babe :
alijaribu hiyo kitu aise, niliolewa miaka mbili nikiwa kwake , untill nika heal , mpaka nikadevorce, sasa nikatulia na yeye sasa, sasa nangoja anisaliti ya pili nimuonyeshe tena
2026-11-18 23:01:26
1
ma uchebe :
haishi mpaka iishe
2026-11-08 15:18:05
2
Fedha Lubiki :
Uyo ni mm kbs
2026-11-15 05:27:19
1
Bidalla Tembo :
Tena Mimi sisamee mpaka. kiama
2026-11-13 16:11:26
1
Cool :
wasanue hao
2026-11-16 04:21:49
1
yb_m.i.s.e.r :
vita ni vikali
2026-11-15 14:20:37
1
sasha lynch :
well said
2026-11-13 11:06:45
1
hajraah :
hayaishi
2026-11-07 02:11:45
4
SugarRushDelights26 :
naukiongea wnmind
2026-11-13 14:37:24
1
mama Anaya ❤️❤️ :
😂😂😂😂kweli
2026-11-08 18:45:38
1
❤️call me immortal 📌 :
wangu alinisaliti,alikua amenificha, nkafanya utafiti nkampata sikumuliza Lkn alinishuku Kua nishajua,akaanza kuvugu mm nimetulia tow.juzi akarudia kunipiga Tena sikuona, keshowe nilipo fungua roho,hajaamini ady sahizi Kua mambo nlikua nimeweka Rohini nayajua...😊
2026-11-07 14:20:44
2
witness :
kukupenda tu maadam
2026-11-13 04:25:15
1
user1529104825691 :
mbon kama mnaniongelea mm
2026-11-07 05:26:43
1
Miss Carolyn ♥️ :
niongee kwa kusimama au kwa kukaa 🤦♀️
2026-11-16 09:04:50
0
To see more videos from user @tafakari.leo.yako, please go to the Tikwm
homepage.