Usimfanyie mwanaume usafi , usimpikie usimpe kila siku kama hajakuoa🥹🥹
2026-11-06 18:20:24
224
Am -Vicky 💞 :
mwanaume asipokupenda pia atakuoa😌
2026-11-06 17:33:40
81
giftismaggie :
Na akikuomba ela sio kama ana shida nayo yeye bali anaenda kumpa mwanamke wake anaempenda😂
2026-11-07 05:44:38
67
🎀Mom Amal🎀 :
Na akikuomb hela akulipi🥺🥺😅😅😅
2026-11-07 05:44:53
38
Mama JJ🍎 :
kuanzia leo kunamtu naachananae
2026-11-06 14:31:43
46
Caster Mabere :
mwanaume hawezi kuacha ndoto zake kwa sababu ya kuoa au mahusiano
2026-11-06 16:43:35
91
mili pt :
finah umetishaaaa
2026-11-07 11:20:25
1
Happy😘🌷 :
Ya mwisho nimecheka😂😂
2026-11-06 17:25:57
21
it's Eniola🦋🦋 :
nipo kweye halli ya namba moja😂😂😂 nacheka kama mazuri
2026-11-06 18:19:50
20
herieth :
it's like a deep issues guys 😏😏😏😁😁😁
2026-11-07 05:57:03
0
🌹masai❣️🌹 :
sio kila mwanaume anaekuomba ela basi hakupendi ,mahusiano ya kweli ni kumsaidiana na c kusaidiwa au kumtegea mtu mmoja coz mmependana wote na hajakupenda peke yake , wanawake wengi hatujui kutofautisha hilo
2026-11-07 01:28:06
16
me 🤍 :
wee msnambieh 🤣🤣🤣
2026-11-07 19:00:40
0
lilian miles :
sad to see they're all facts
2026-11-07 05:09:03
2
Official Tee❤️ :
Kuna kaka kaniomba laki2 aanze biashala ili tukapnge🤣🤣🤣🤣ndo np natfta ela yamsingi wa baba mpnzi
2026-11-06 17:27:21
19
ley official :
pia mwanaume ndo kiumbe pekee anaweza kua na mahusiano na wanawake 6 kwa pamoja na hawapendi woote
2026-11-07 11:57:57
13
Skyner Chombo :
naombwa hela kila mara ukimuomba yeye kila mara hana NACHANGANYIKIWA[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-07 08:40:24
7
Wema Varkeu :
My situationship no call,no anything 😂😂😂😂
2026-11-06 16:52:41
6
official reen 🌹🕊️ :
kumbe bora nimblock kabisa maana vyote nafanyiwa 🥹🥹🥹🥹
2026-11-06 18:32:00
15
Chamie light :
nioongee kwa kukaa au kwakusimama?
jaman mwanaume(especially kama sio mume wako)hakopeshwi.bora kama umeamua kumoa umpe tu bila matarajio ya kuipata tena😢😢na amna cheti cha kuwa mwema kwake to the extent una sacrifice too much on him
msiseme sjawaambia
2026-11-06 16:10:57
10
Chii_smile :
jaman nimeachwa😂😂
2026-11-06 15:24:53
22
realtammy :
hiyo mwanaume asiekupenda atakuomba ela😃
2026-11-06 19:46:01
7
momylee :
mbn me huwa nampa na haniombi jaman
2026-11-06 20:19:24
1
Peless Nstamaka :
saw me nmesoma bila kulia 😭😭😭
2026-11-07 15:09:41
1
official nasam17 :
me namsapoti phina ndo ninayo yapitia kama sio mimi nilieitwaga mke kabla ya ndoa🤣🤣🤣
2026-11-07 20:25:13
2
To see more videos from user @blessed_1311, please go to the Tikwm
homepage.