@tephen562:

mr.tepha
mr.tepha
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 14:24:00 GMT
209630
18115
1713
1107

Music

Download

Comments

malicksalum5
malick 0091 :
hapo tulikuwa tukitoka shule jua kali saa 8 mchana tumechoka, tunawahi kwenye mtungi😁😁😁
2026-11-06 16:39:54
359
babyhuled
babyhuled :
halafu unakunywa yakibakia unarudisha kwenye friji😂😂😂😂😂
2026-11-07 08:02:40
172
ndabacharubala
salima nogere :
kwa kisukuma tunaita runo
2026-11-07 05:52:37
51
morebeautysaloon
morebeautysaloon :
Kweli[Heartwarming]
2026-11-07 16:25:42
0
lutonja_jr
Abel Lutonja :
hapo maliza hata jagi matonsesi huyaoni[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 18:23:19
0
falaji26
OFFICIAL RAJI🚭 :
Bibi angu anakwambia Lina umri mkubwa kukuzidi wew ilo Mimi tu na miaka 21 😂😂😂
2026-11-06 17:06:38
82
bakaliabdallah521
princess bakari :
waoooo[Red heart]
2026-11-07 21:03:58
0
lameck_2005
Raji jj :
mbna mm wa mjin na najua hicho ni kibuyu
2026-11-06 17:27:12
36
user9040944317885
user9040944317885 :
respect 🙏
2026-11-07 20:01:04
0
msomali0675
AMIDADI KUMAR :
Najua haiwahusu lakini mbuzi wangu amefariki😅
2026-11-06 18:19:37
28
hotmomi1999
Hot momi 254 :
Nakwambie 😂😂
2026-11-07 18:33:47
0
amaniyamoyo15
@🕌Amani ya moyo🕌@ :
MIMI NIPO KWA HILO SONG 2😂😂😂😂😂😂
2026-11-07 06:56:58
11
semenijuma305
Semeni Beauty point💯 :
Au usiku kabla ya kuanza kula mnatoa maji nje yapungwe na upepo 😂😂😂
2026-11-07 11:19:56
9
user46232741704681
Martha j@y🌹🫶 :
alf sijui kwann mifuniko na kikombe cha kuchotea huwa vinakuwaga vya bati jamn
2026-11-06 15:53:41
24
user99590222614840
Oriver :
Asante
2026-11-07 12:23:06
0
hadijamwikalo2
Mwikalo2 𝔒𝔣𝔣𝔦𝔠𝔦𝔞𝔩. :
Weeh! ni barid ya asil kwakwel,wakishua hawez elew vitu kama izo.🥰🥰
2026-11-06 19:00:22
20
prince40288
The_Prince✅ :
Mara kikombe cha chuma nakitafuta sikioni kumbe kimo ndani ya firiji, sasa kwanini nisiweke mkono kukichukua, na nimetoka kula embe😁😁😁
2026-11-07 12:31:26
9
godliverfrolian
GODLIVERFROLIAN :
kuna muda nilikuwa sijiskii kunywa na kikombe maji ya kijaa nilikuwa naingiza mdomo nakunywa😁😁😁😁
2026-11-07 11:34:51
11
user966857739840
reymovies :
nikibakisha maji narudisha kwa friji pamoja na kikombe😂nikishikwa na kiu tena natafta kikombe sikion nachukua kingne pale naanza ty kuchota nakutana na kingne ndo nakumbuka kuwa nilikiweka kwa firiji ila mimi😂😂😂😂😂
2026-11-07 11:28:01
7
jacobgiti
Jacob :
tena ikiwa mpya ni balaaa, alafu maji yanakuwa na kaladha fulani hivi, weee acha kabisaaa.
2026-11-06 15:21:15
38
0711757121.naomi.g
Nao :
Kweli kabsa dah umenikumbusha mbali sana😂😂😂
2026-11-06 16:02:50
9
user761374803105
Jay mee 💛💚 :
na linagandishaaa vizur
2026-11-06 16:13:31
11
rosesamweliy21ros
Rose samweliy21 Rose samweliy2 :
mtungi wamaji maji yake huwa niyabalidi San ukichota maji ukinywa yakibaki unarudisha kwenye mtungi
2026-11-07 11:51:24
0
chuu5599
Ashley@🫂🥰 :
Haligandishi lakini balaaaa 🔥 👌👌
2026-11-06 19:31:34
3
shans992
shami ❤ :
natafuta mume😅😅😅😅
2026-11-07 14:41:33
2
To see more videos from user @tephen562, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About