@bbcnewsswahili: Je, viboko ni nyenzo muhimu ya kudumisha nidhamu au ni adhabu iliyopitwa na wakati? Mjadala huo umeibuka upya nchini Tanzania baada ya Mahakama Kuu kutoa uamuzi unaopiga marufuku adhabu ya viboko shuleni. Uamuzi huo umeibua maoni yanayokinzana kuhusu nafasi ya walimu katika kusimamia nidhamu na mbinu mbadala zinazoweza kutumika katika kumfundisha wanafunzi. Wewe una maoni gani? Je, unadhani wanafunzi wanaweza kufundishwa bila viboko? Mwandishi wa BBC @mariammjahid na taarifa hiyo #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryou #fypシ #elimu #adhabu #viboko
nilichapwa 4m4 mwezi wa 7 mpaka nikataka kuacha shule nikaona achanimalize bado miez 4 ikatokea elnino kufupisha miezi
2026-11-07 10:20:00
0
Iqanaman :
suspension
2026-11-07 19:39:31
0
🍁R"A"D"A O"F"F"I"C"I"A"L🍂 :
Kwaiy mlikua mnasubir tumalize
2026-11-07 16:49:38
30
Totom# :
we can use negative punishment such as overtime,more exercise ,stand up, sit in front the class, talking until period end and so on
2026-11-07 18:38:11
1
Godprince💫 :
hapana tunataka fidia zetu
2026-11-07 15:15:11
1
blood of united :
shule bila viboko haiendi
2026-11-07 14:20:16
4
Suhusu :
Shule inunue maboksi ya pipi na biscuits iwapatie wanafunzi wale kama adhabu mbadala watakapofanya makosa.
2026-11-07 11:26:57
8
Ibrahim Hji :
kuna adhabu nyingi kama mazoezi madogo ya viungo au kufanya usafi wa mazingira madarasa na vyoo au kuleta vitu kama kuni na maji.
2026-11-07 10:36:40
4
Ms natty🇷🇼 :
Kuwe na idadi ya viboko visivyo zidi 3 navyo vichapwe sehemu elekezi mfano matakoni afanye kazi ya shule kama adhabu ikishindikana hapo apewe adhabu ya kusimamishwa shule baada ya siku wiki mwez au miezi na apangiwe alama za ufaulu wa mwanzafunzi.
2026-11-07 14:02:07
0
▫️ :
sisi vipi opo kulipwa fidia tulochapwa?
2026-11-07 09:09:22
6
omega :
kwisha Mimi 😅
2026-11-08 04:49:38
1
OFFICIAL JUNIOR 💙☀️ :
naomba nilipwe fidia
2026-11-07 20:01:22
2
DANIAFRICA BNL🇹🇿 :
viboko vilifanya marafiki zangu wengi kukimbia shule na kuacha kabisa
2026-11-07 09:09:21
7
user15044883314631 :
qsante mungu
2026-11-07 18:44:32
1
Phellic :
mm ngoja nitoe adhabu mbadala mtoto akifanya kosa apewe adhabu atakayofanya wiki mzima akirudia afukuzwe shule simple
wanafunzi wenyewe watanyooka wakiachishwa shule kukaa mtaani hio itawanyoosha 😂😂
2026-11-07 14:27:51
1
Blissful_Gamer :
Jamani Wanafunzi mpo ebu njoeni tuliongelee hili jambo
2026-11-08 07:03:09
2
wizzy*GK :
kuwe na adhabu ya kupewa kazi
2026-11-07 14:40:32
0
Money_bank_26 :
kwa hyo mahakama inaona kuchapa viboko sio haki ila kumfunga mtu ambae hana kosa kama lissu ni haki 😏
2026-11-08 05:32:58
3
Rasta_Mbili :
ss ambao tumepigwa tulivyokuwa tunasoma tulipwe fidia jmn
2026-11-07 20:40:07
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.