@millardayo_: Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Regemeleza Nshala amesea licha ya Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Antiphas Lissu kuhukumiwa bado ipo nafasi ya kuwekewa dhamana na anadhaminika. Nshala ameyasema hayo hii leo Novemba 6, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi kutokana na kesi ya Uhaini iliyokiwa inamkabili. Wakati tunasubiri rufaa na kosa la Lissu linadhaminika hata kama umekutwa na hatia hivyo tutafuata hatua na utaratibu kwa kushirikiana na Mwenyekiti kukata rufaa lakini lakini ambacho tunatakiwa kuhakikisha ni hatukati tamaa, tutahakikisha utawala wa sheria za haki unazingatiwa" Amesema Rugemeleza Nshala #MillardAyoUPDATES