@emiratealuminiumprofile: Zaidi ya miaka 15 ya ubora, uzoefu na ubunifu katika kutoa suluhisho bora za Aluminium na Glass. Tumefurahi kupata nafasi ya kushiriki katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi FM, ambapo tulipata fursa ya kuzungumzia bidhaa zetu, ubora wa huduma zetu na kile kinachotutofautisha katika sekta ya Aluminium na Glass. Kwa miaka yote hii, tumeendelea kuwa sehemu ya ujenzi wa majengo ya kisasa kwa kutoa bidhaa zenye ubora, uimara na muonekano wa kipekee. Miaka 15+ ya ubora si bahati, ni matokeo ya kujituma na kuamini viwango bora. Aluminium ni Emirate.💥 #emiratealuminiumandglass #jananaleo #15YearsOfExcellence #UboraUsioLinganishwa #AluminiumNiEmirate

EMIRATE ALUMINIUM AND GLASS CO
EMIRATE ALUMINIUM AND GLASS CO
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 14:50:28 GMT
2518
207
5
11

Music

Download

Comments

jose.marandu
Jose Marandu :
big up sana
2026-11-06 16:35:33
3
eaglecraftaluminum
Eagle craft_Aluminum :
Emirate Aluminum
2026-11-06 18:38:51
2
mnank4
redeemer aluminium, furniture :
nikwel mnabidhaa nzuri lkn nachukizwa kwa kuponda bidhaa zawatu wengine, namkitaka kupiga biashara zaid bas wafikien mafundi sio radio
2026-11-06 18:38:32
2
mashallahglassalum
Mashallahglassaluminium :
tuko pamoja
2026-11-06 21:19:28
0
To see more videos from user @emiratealuminiumprofile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About