tanzania ina mihili mikuu 3 lakini ndani ya hiyo mihili kuna mhimili mmoja upo juu zaid ya mihimili mingine ndo tatzo haya yote maajabu yanayotokea nchini
2026-11-06 18:51:55
4
zacki knight :
Kama alizuia uchaguzi huyo aliyepata 98% za kura alizipataje
2026-11-06 20:45:36
2
#Wakristo :
3 Mbona wanionyesha uovu, na kunitazamisha ukaidi? Maana uharibifu na udhalimu u mbele yangu; kuna ugomvi, na mashindano yatokea.Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu haipatikani; kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki; kwa sababu hiyo hukumu ikipatikana imepotoka.
Habakuki 1:3-4
2026-11-06 18:25:10
3
Abusalama Madogo :
BABA EE JUAKEAMBA AMRIJESHIMKU NI CCM JESHIMKUU CCM USALAMA MKUU CCM JAJIMKUU CCM KWAIYO CCM OYEEE HAPANA PAKUTKEYAHAPODAA