Uko sahihi nimekupata, mawkili ni watu wa ajabu sana! utakuta anamtetea Mtu hatakama ni jambazi anajua kabisa ameua lakini kwa tamaa ya pesa anamtetea asifungwe, mawakili Mungu anawaona.
2026-11-07 03:52:59
3
Nash :
Naomba kuuliza ili kupanua uelewa, je hilo kosa dogo mtuhumiwa hapewi nafasi ya kujitetea? na je shahihi anapotoa ushahidi je ikionekana ana mazabe anaweza kuhukumiwa kwenye hiyo kesi kwani naye kaonekana ana kesi?
2026-11-07 04:07:26
2
baba Brian :
Hio kosa dogo alishtakiwa nalo lini?
Alishtakiwa lini chini ya kifungu hicho cha sheria?
Mshtaki ni nani?
Lilifanyiwa submission?
Iwapo umhukumu mtu bila kumpa haki ya kusikilizwa?
2026-11-07 00:56:54
1
mecy :
KWAHIYO MAWALILI HUWA MNAFURAHI WATU WAKITIWA HATIANI WATU HUONI KAMA TUNAKOSA KODI WATU WENGI WAKIWA GEREZANI?
2026-11-07 04:09:10
1
dismasmsambure :
Sawa hata ss ambao si wanasheria tumeelewa, ila naona kama sheria hiyo inamnyima mtu haki ya kujitetea. Coz mtu alijitetea na A, anakamatwa kwenye B. Uthibitishaji unakaaje hapo ikiwa mtu ajajitetea kwa B.
2026-11-07 06:51:45
2
Charles Magori :
sio kweli
2026-11-06 23:13:21
1
Critical Thinker :
Mimi rabda nikuulize kwanza mwanaharakati ndio nani?
Pili, uwepo wa kifungu na uhalali wa kifungu ni vitu viwili tofauti.
Hakuna aliepinga uwepo wa kifungu, sisi tunachohoji ni uhalali wa hicho kifungu.
2026-11-07 10:56:00
0
deomatata :
shida ipo kwenye hiyo application ya hicho kifungu
na mahakama sio malaika, inaweza kufanya makosa na haitakuwa mara ya kwanza mahakama kufanya makosa.
na sio kosa mtu kutoa maoni yake, na ukiwa wakili haikunyimi haki ya kutoa mawazo yako binafsi.
kwahiyo kama wakili, na wewe jielekeze vyema.
afafu fanya video nyingine kuelezea namna ambavyo offence ya incitement ni cognate to treason. otherwise sikiliza maoni ya watu alafu tulia.
BINAFSI, mara nyingi sana nimeshaandika maneno kwamba mahakama haijajielekeza vyema kwenyr sheria au fact, na sio kosa kisema mahakama imekosea
2026-11-07 13:49:00
1
Mkononi the big deal :
Hakuna lolote bhanaee [Tears of joy]
2026-11-07 15:51:18
0
user1489036471253 :
nawee usipumbaze Tanzania,hakuna kitu kama hicho.
2026-11-07 01:11:38
1
SegenaMS :
Sasa kwa nini hamuitishi press conference naninyi muongee na watanzania ? Maana mahakama imechafuliwa sana
2026-11-10 05:00:34
0
kahwa123 :
kabla sijakuaikiliza nshajua wewe unapanbania roho yako
acha kulalamika tafsiri ILI tuelewe sisi ambao hatukusoma Sheria
wanasheria wenzio wanasema uhaini hauna kosa dogo je ni kweli?
wanasema uhaini ni kosa pekee linalotajwa kwenye katiba
2026-11-09 05:18:35
0
abra_man :
😂😂😂daaa
2026-11-06 23:53:42
1
dunduka madunduka :
Nchi yetu mahama haziko huru,kwanza kabla hukumu haijatoka taarifa zilishavuja?mnakuja kujitetea mitandaoni kwa kuwa mnajua watz tumeshajua ukweli,acheni kulinda watu wanaokandamiza haki za watu kwa vyeo vya kupewa
2026-11-07 07:59:33
0
Davex :
Kweli haja ya kuwa na katiba mpya sasa ninaiona iko wazi kabisa. Mmetutungia sheria ambazo zinakiuka haki za wananchi katka nchi hii. Hivi hii nchi inawasomi au ina watu waliopita shule??
2026-11-07 10:54:47
0
user1087147043228 :
Ahsante sana sana sana Wakili MSOMI. CHADEMA ikishinda , basi hapo wanaishukuru Mahakama kwa kutenda HAKI. Ila walishindwa, mara wanageuka na KUSEMA MAHAKAMA INA TUMIWA NA SERIKALI ISIVYO HALALI. THIS RIDICULOUS
2026-11-10 09:03:39
0
Calvin Emmanuel :
ndugu yako nani sasa
2026-11-07 20:33:01
0
ankojei :
Kwerndaa
2026-11-07 13:37:59
0
mkasiwa :
Umeongea kisomi sana. Ila tatizo watu wanaleta siasa.
2026-11-07 13:37:42
0
Eng: Maro's :
Ndomaana tunataka katiba mpya hiyo haipo clear
2026-11-07 05:26:37
1
To see more videos from user @www.basila777, please go to the Tikwm
homepage.