Gwajima mtumishi tunahitaji maombi yako kwa lisu jaman
2026-11-06 17:27:32
332
Neema Samwel :
Yani nimejikuta nalia japo mi sina chama chochote ila uyu baba kaniuma Yani amefiwa alafu mbovu du kama Mimi ni mtu bakitu je familia yake da aise mungu tupe moyo wa unyenyekevu
2026-11-06 16:32:25
254
Eva Kibeha :
mchungaji tusemee tu baba hatuna mwingine
2026-11-06 16:16:44
164
Mr Abeli :
kiufupi wameshindwa kumuuwa kwa nguvu sasa wanataka kumuuwa kiujanja hii ndo Tz yetu tuwe wapole tuu 😭😭
2026-11-06 17:41:02
102
oresthageroldy :
ifike mahala Lisu aachwe jamani mioyo inauma inawaka moto juzi kafiwa na kakaake leo anahukumiwa miaka 4 familia yake inahaligani 😭😭eee Mungu wafanyie wepesi familia ya huyu baba
2026-11-06 18:18:48
110
Asha Mohamed :
Yn anacheka tu lkn moyo wake unaumia 😥
2026-11-06 17:39:01
134
Atu baby 😍 :
Nalia na mengi Mimi mapenzi mala tundu lissu ntafika nimechoka sana mbinguni
2026-11-06 18:01:53
77
semeni William simoni :
[Crying][Crying][Crying]mungu yupo
2026-11-07 13:26:39
0
user1382526158533 :
Yupo Mungu mwenye hukumu ya kweliii,,hii dunia inamaonezi sanaa[Crying][Crying][Crying]