@ticha_fungo: Mulilo na Dhulkarnain Wameenda kumtembelea Abdul Likoma nyumbani kwao baada ya kuugua Takribani wiki mbili! Haya ndiyo yaliyojiri! #SupportVipaji #FutureOfTanzania #TichaFungoTalentDeveloper

Ticha Fungo
Ticha Fungo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 15:23:02 GMT
47282
5410
295
124

Music

Download

Comments

sweety__star
Sweety star ⭐️ :
Molilo kafanana na magufui[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-06 15:36:03
20
lizydecute
momy daughter💙🤍❤️🥰 :
hii ndo maana ya best friend forever 🙏🫶❤️
2026-11-06 18:58:30
19
enorez.enin
Enorez Enin :
hiyo hyo na mimi napita umoumo
2026-11-06 16:09:14
67
habshichamzury
CR_Benghazi :
Mimi ni shabiki wa muliro 🤣🤣
2026-11-06 18:55:30
30
laurentmacha0
laurentmacha708 :
iyo oyo na me napita nayo.😂mimi kabisa🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 17:40:03
40
mgaza_3
mgaza_ :
oya weeee hii 🔥🔥🔥
2026-11-07 07:01:13
0
byser17
byser :
Eti tumechanga changa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 05:56:38
0
mchigoni
Mchigoni :
iyoo iyoo na mimi napita humo huko
2026-11-06 15:31:02
15
mtumishi890
mariam wa kazkazini :
Glory be to GOD
2026-11-07 05:41:25
0
user7428230653020
Shira master :
muliro noma xan
2026-11-06 20:04:01
0
yahaya0469d
yahaya :
mzee wg mollilo
2026-11-07 04:24:06
0
bway980
bway :
mulilo🔥🔥🙌🙌🙌
2026-11-06 20:27:21
1
mariamusanga299
miss landlord :
Yan nisipoo onaa content za hawaa watt mm silali.
2026-11-06 15:49:53
29
maikodaud686
password🔑🔐❤️ Nyamongo :
Hawa watoto wananifurahisha san
2026-11-06 15:39:39
20
user30513707256945
kng@112 :
upendo ishini katika pendo
2026-11-06 15:29:51
15
johns.maskat
John's maskat :
mulilo 🔥🔥🔥sana
2026-11-06 15:51:56
19
chigy07
Chigy07 :
Sema Mwanangu Dhulkarnain anajua sanaa basi tuh😂😂🔥🔥
2026-11-06 18:41:59
8
malenga.baba
malenga baba :
Abdul is talent
2026-11-06 16:07:11
9
happyness.chilamb
Kiki :
hawa watoto urafiki wao ukadumu na uwe na manufaaa Amen
2026-11-06 20:10:49
7
user1179018371755
kidava og :
ticha fungoo nomaaa sana zuka nain uyoo
2026-11-06 16:52:25
8
bagabriellamlt
👑 KiBELLa oG :
KUUMWA IBADA FAMILIAAAA 🥰🥰
2026-11-06 17:43:21
9
allykuku1
MR FUNDI :
Zulkanayn Talent sana 🥰🥰🥰
2026-11-06 18:28:19
5
seifcontena5
Seifcontena5 :
umechanga saa ngapi Mulilo [Tears of joy]
2026-11-06 18:35:12
5
shekh_bashiru_mandwanga
Mandwanga land agency :
Kwenye mataifa ya wenzetu walianza kitambo kusearch vipaji vya watt na kila mtt kushikilia kile kipawa chake na kuendelezwa na sio kukalilishwa mende anamiguu nane akimaliza shule anakutana na kopa lipa umekosa I S T Iko mlangoni Nakubar Teacher fungo na hi iwe mfano kwa walimu wengine kudeal na talent zingine mashuleni fursa za baadae izi
2026-11-06 16:52:25
6
vinna284
Ms vee🌸🍃 :
Mulilo nataka nimnunulie shati😂😂🙌🏿❤️
2026-11-07 06:17:02
1
To see more videos from user @ticha_fungo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About