@gidetv_media: VIDEO: Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema amekumbana na kile alichokitaja kuwa ni vitisho baada ya kutoa mchango wake Bungeni akipinga vitendo vya ushoga na usagaji. Akizungumza leo, Novemba 6, 2026, nje ya viunga vya Bunge jijini Dodoma, Waitara amesema baada ya kutoa mchango huo, mmoja wa wabunge alimfuata na kumuuliza sababu za kuwashinikiza wabunge wengine kusimama kuunga mkono hoja yake. Aidha, amedai mbunge huyo alihusisha wabunge wanaume ambao hawakusimama na vitendo vya ushoga, huku wanawake akiwahusisha na usagaji. Waitara amesema anaamini mtandao wa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo ni mkubwa na una uwezo mkubwa wa kifedha, hivyo ataendelea kuchukua tahadhari na kusimamia msimamo wake licha ya vitisho anavyodai kuvipokea. Amesisitiza kuwa haogopi wala hatarudi nyuma kutokana na vitisho hivyo, huku akieleza kuwa anaamini Serikali itatoa majibu kuhusu suala hilo na kuchukua hatua anazodhani zinastahili. #gidetv #viralvideo #trendingpost #newstoday

🄶🄸🄳🄴 🅃🅅
🄶🄸🄳🄴 🅃🅅
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 15:24:13 GMT
52755
1820
99
190

Music

Download

Comments

masterdizzo3
MasterDizzo :
WAITARA MUNGU AKUWEKE
2026-11-06 17:28:48
39
eng.mwafyijinja
Mwafyijinja_🐵 🤨 :
Ni side meeting siyo site meeting
2026-11-06 19:22:22
2
brunomtafutaji
BRÜNÓ 🕺🔥 :
mwenye anamjua uyo mbunge atutajie basi
2026-11-06 18:31:17
10
saifsaify20
saifsaify20 :
Bado wapo watu mtandaon wanamchukia waitara.dah ewe mungu lipulize tu baragum dunia tumeichoka kwa haya
2026-11-06 18:01:16
13
africansafari81
Africansafari :
Don’t eat any Restaurant food sir, please we love you .
2026-11-07 00:38:13
1
athmanlotto11
ATHMAN LOTTO :
Baba levo nn
2026-11-06 17:58:44
6
john.julius.mwita
nyangaka :
baba levo we mtaje tu
2026-11-07 06:00:44
0
daudkondo3
daudkondo3 :
mtaje
2026-11-06 18:39:22
2
philimoni.siki.12
philimoni siki @12 :
anaitwa mwita mwikwambe waitara mkombozi wa tarime vijijini na taifa
2026-11-07 05:46:23
1
user6544077035428
Charlie Gypsum Design.tz :
jamani mbn Rais simksii akitoa hoja yeyote. kuhus hiki kinachoendelea nchini. kwan kz ya Rais nini. ni kuzunguka Dunia nakutumia ela zetu au
2026-11-07 04:38:32
0
broocklyn__61
broockliyn___mwakasaka :
KUWEN WAPOLE HILA KILA MMOJA ATAHUKUMIWA KUTOKANA NA MAKOSA YAKE
2026-11-06 17:54:00
3
user6144286810951
Baba P :
vita ni kubwa
2026-11-07 05:44:01
0
britaingold
Britain Gold 🪙 :
drama za kupoteza kesi ya lisu
2026-11-06 20:01:15
5
nicprecious5
nicprecious :
Mtumeeeee
2026-11-06 19:27:59
4
furahia.ac.soluti
FURAHIA AC SOLUTION :
kama kweli unapinga hyo mambo. kwa heshima muite MAMBA bungeni
2026-11-06 20:23:06
3
renee.storee
RENEE STOORE 💧💖 :
Dolla million 15 ni sawa na billion 29 tzs hiyo ni kwa mwanachama mmoja
2026-11-06 22:19:25
3
egsiyaga1
EMET :
hapa tulipofika ni kumuomba Mungu tu basi hii issue ishaota katikati ya ngano
2026-11-06 18:42:05
3
alex.sichone4
Alex Sichone :
mtajeeeee
2026-11-06 20:26:57
3
user669422638880
[email protected] :
Mungu awe naww
2026-11-06 19:27:39
2
alharamain066
zaahid :
mungu yupo pamoja na ww
2026-11-06 17:30:54
3
jr142719
JR :
Kama anataka kujua usagaji sio kazi siku ya kujaza fomu za ubunge aandike hiyo kazi kama itakubalika.
2026-11-06 17:20:55
3
sarafina43314
Sarafina 💋💋 :
mmmh
2026-11-06 18:42:30
2
twalibali249
my name :
mungu tulinde ss naki zazi chetu amina
2026-11-06 20:26:13
2
wandwi1
wandwi1 :
wabunge wa ccm 🤣
2026-11-06 17:24:43
3
mercedes.maresa
Mercedes maresa :
wenyew wanapata faida gani kushawishi watu ivo
2026-11-06 19:18:06
1
To see more videos from user @gidetv_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About