@blacktigrenoir: Riz importé de l'Afrique de l'ouest vers les États-Unis

BlackTigre
BlackTigre
Open In TikTok:
Region: ML
Friday 06 November 2026 15:24:27 GMT
4868
422
12
14

Music

Download

Comments

lakare2350
lagare😍 :
[Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant]
2026-11-06 17:42:21
0
bakotraore38
bako,traoré :
❤️❤️❤️
2026-11-06 17:41:50
0
user9207590254448
user9207590254448 :
💚💚💚
2026-11-06 17:24:53
0
namanlezy55
Namanlezy :
[Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant]
2026-11-06 17:15:13
0
hamidou.guindo59
hamidou guindo :
♥️♥️♥️
2026-11-06 16:41:08
0
sereme.moussa4
Sereme Moussa :
👍👍👍
2026-11-06 15:46:40
0
almane.kontah0
Almane Kontah :
😳😳😳
2026-11-06 15:38:01
0
user5449784232620
user5449784232620 :
🥰🥰🥰
2026-11-06 15:35:10
0
djakatedaoudi
Djakate Daoudi :
❤️❤️❤️
2026-11-06 15:32:37
0
dfxf58
IB MAJOR :
[Réconfortant][Réconfortant][Réconfortant]
2026-11-06 15:31:26
0
dialloadama3666
Diallo Adama :
🥰🥰🥰
2026-11-06 15:30:12
0
arn.sidibe
Arnè Sidibe :
😳😳😳
2026-11-07 00:22:40
0
To see more videos from user @blacktigrenoir, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Leo nataka tuongee ukweli kuhusu kitu ambacho kinawatisha wanawake wengi sana:  damu ya period ya 𝗿𝗮𝗻𝗴𝗶 𝗻𝘆𝗲𝘂𝘀𝗶 🙄🙄. Najua mkiona hii hali huwa mnaogopa na  kufikiria labda ni ugonjwa 𝗺𝗯𝗮𝘆𝗮, 𝗦𝗮𝗿𝗮𝘁𝗮𝗻𝗶 (𝗰𝗮𝗻𝗰𝗲𝗿), au umepoteza uzazi.  Ukweli ni kwamba, asilimia kubwa ya kesi hizi ni 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝗮𝘄𝗮𝗶𝗱𝗮 𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝘄𝗶𝗹𝗶 wako na hakuna haja ya kupatwa na hofu kubwa. 𝗨𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗵𝘂𝘂 𝗵𝗮𝗽𝗮   𝗞𝘄𝗮 𝗡𝗶𝗻𝗶 Damu Inakuwa Nyeusi? 😒🙄 ♥︎ 𝗗𝗮𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘇𝗮𝗺𝗮𝗻𝗶  Sababu kuu ni damu kukaa muda mrefu ndani ya mfuko wa uzazi kabla ya kutoka nje. ♥︎ 𝗠𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗸𝗲𝗺𝗶𝗮 (Oxidation)  Damu inapochelewa kutoka, inakutana na hewa ya oxygen mwilini. Inabadilika rangi kutoka nyekundu, kuwa ya kahawia, na mwisho kuwa nyeusi. ♥︎𝗠𝘁𝗶𝗿𝗶𝗿𝗶𝗸𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗮𝗿𝗮𝘁𝗶𝗯𝘂   Hali hii hutokea zaidi siku za kwanza kabisa au siku za mwisho kabisa za hedhi yako, wakati damu inatoka kwa mwendo wa konokono.  𝗟𝗶𝗻𝗶 𝗡𝗶 𝘏𝘢𝘭𝘪 ya 𝘒𝘢𝘸𝘢𝘪𝘥𝘢? -𝗠𝘄𝗮𝗻𝘇𝗼 𝗮𝘂 𝗺𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘄𝗮 𝗽𝗲𝗿𝗶𝗼𝗱: Kusafisha mabaki ya damu ya mwezi uliopita au kumalizia ya mwezi huu. -𝗕𝗮𝗮𝗱𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝗳𝘂𝗻𝗴𝘂𝗮: Damu ya usafishaji (lochia) inaweza kubadilika rangi na kuwa nyeusi baada ya wiki chache. -𝗕𝗮𝗮𝗱𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗵𝗮𝗿𝗶𝗯𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝗶𝗺𝗯𝗮: Mwili unatoa mabaki ya damu yaliyokaa muda mrefu ndani.  𝗟𝗶𝗻𝗶 𝗨𝗻𝗮𝗽𝗮𝘀𝘄𝗮 𝗞𝘂𝗺𝘂𝗼𝗻𝗮 𝗗𝗮𝗸𝘁𝗮𝗿𝗶?  𝘋𝘢𝘭𝘪𝘭𝘪 𝘻𝘢 𝘏𝘢𝘵𝘢𝘳𝘪 Rangi nyeusi pekee sio shida. Lakini, nenda hospitali haraka ukiona rangi hiyo inaambatana na vitu hivi: -Harufu mbaya sana na kali isiyo ya kawaida. -✦𝘔𝘢𝘶𝘮𝘪𝘷𝘶 𝘮𝘢𝘬𝘢𝘭𝘪 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘺𝘢 𝘵𝘶𝘮𝘣𝘰 𝘺𝘢 𝘤𝘩𝘪𝘯𝘪 𝘢𝘶 nyonga yanayozidi yale ya kawaida. ✦ 𝘏𝘰𝘮𝘢 𝘬𝘢𝘭𝘪 𝘯𝘢 𝘮𝘸𝘪𝘭𝘪 𝘬𝘶𝘤𝘩𝘰𝘬𝘢. ✦𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗻𝘆𝗲𝘂𝘀𝗶 inayotoka ukiwa mjamzito  ♥︎ Kuwasha au vidonda sehemu za siri. 𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘄𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗸𝘄𝗮𝗸𝗼  Usiogope bure! Kama huna dalili hizo za hatari hapo juu, mwili wako unafanya kazi yake ya kawaida ya kujisafisha. Kaa kwa amani. 𝘒𝘈𝘔𝘈 𝘜𝘔𝘌 𝘌𝘓𝘌𝘞𝘈 𝘈𝘕𝘋𝘐𝘒𝘈 ... 𝘕𝘐𝘔𝘌 𝘌𝘓𝘌𝘞𝘈 𝘚𝘈𝘕𝘈  𝘜𝘕𝘈 𝘚𝘞𝘈𝘓𝘐 𝘜𝘓𝘐𝘡𝘈 𝘛𝘜... 𝘍𝘖𝘓𝘓𝘖𝘞, 𝘓𝘐𝘒𝘌.𝘕𝘈 𝘚𝘏𝘈𝘙𝘌 𝘐𝘞𝘈𝘍𝘐𝘒𝘐𝘌 𝘞𝘈𝘕𝘞𝘈𝘒𝘌 𝘞𝘌𝘕𝘎𝘐 𝘚𝘈𝘕𝘈 .. 𝘒𝘞𝘈 𝘜𝘚𝘏𝘈𝘜𝘙𝘐 𝘡𝘈𝘐𝘋 𝘕𝘐𝘛𝘜𝘔𝘐𝘌 𝘜𝘑𝘜𝘔𝘉𝘌 𝘞𝘏𝘈𝘛𝘚𝘈𝘗𝘗 0621510515.. #Kalenda #hedhi #TanzaniaBusiness #trendingtanzania🇹🇿 #mzungukowahedhi

About