@mirrsviva: Nigerian Movie part1 #nokulia #nokutiahuruma @zawanuru cosmetics ๐Ÿ’…๐Ÿ’„

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 15:45:32 GMT
55322
4144
154
161

Music

Download

Comments

user16971937609798
Malkia Jasiri :
Ayubu 22:28 Nawe utakusudia neno, nalo litathibitika kwako; na nuru itaziangazia njia zako. 2. 1 Yohana 1:9 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. 3. Isaya 43:18-19 Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani. Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! hamtalitambua? Nitafanya njia nyikani, na
2026-11-06 16:50:01
45
phinaosy
phinaosy :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ila visasi vina aina nyingiiii mweeh
2026-11-06 20:14:20
2
dicksonjob3
Beliciana โค๏ธ :
duh.. ndo maana neslian apend kugombana na Murat mbele ya batu na nehrโ˜บ๏ธ
2026-11-06 16:24:19
45
graciousmphuru
gracioushouseofcotton :
Anahitaji msaada wa kisaikolojia na maombi. Kwakuwa amegundua shida yake ni rahisi kumsaidia. Wazazi jamani why tunawaumiza watoto wetu lkn๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข Trust me hata ukatili unaoendelea siku hizi kwenye ndoa nyingi asilimia kubwa ni majeraha ya utotoni๐Ÿ˜ญ
2026-11-10 08:56:55
3
barbiee_wanjarah
ms_wanjarah :
jaman mm namchukia baba yangu nikimuona furah yote inakata Tabasam linaondoka, nina miaka 22 ila nmekua nkiona ugomv wa wazazi mpk kufkishana mahakamani. wababa wazazi mnatukosea sana
2026-11-06 19:16:20
14
raya.beauty.cosme
Raya beauty cosmetics :
Huyooo bintii yupo Kama me tyuu oyaa napendaa vipiii ๐Ÿ˜
2026-11-06 16:14:38
11
amaryllis084
amaryllis ๐Ÿค๐Ÿซฐ :
hiyo movie inaitwaje jmn ya kinaijeliaa๐Ÿ˜
2026-11-06 16:29:06
3
lelahdav
lelahdav :
hapo bila Mungu hatoboi
2026-11-06 15:58:47
17
strangerdaughter
stranger daughter๐Ÿ–ค๐ŸŒ™โ™ :
Hyo nayo ni hali ya kipepo mbali na kujiapiza๐Ÿ˜ž๐Ÿ™Œ๐Ÿฅน
2026-11-07 19:20:40
2
chimyjudith
dismander chimy :
da viva naomba msaada nimegundua ila sina uhakika mumwenagu anatembea na mtu na inaonesha anampa mahtaj nisaidie nataka uhakika nisaidie dada
2026-11-08 18:06:48
0
telly0245
Telly๐Ÿฆ‹ :
Jamn naomba mwenye namba yako nna da viva nna shida saiv
2026-11-07 07:10:56
1
jenniemongi30
Jennings|๐ŸŒบ :
150
2026-11-06 16:17:19
2
sindelicious8
Sindelicious๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜Š :
Mmmmmh Mungu msaidie tu huyo binti Neema yako inatosha
2026-11-06 16:59:48
12
user68033724853
@jessica :
mhh aombe toba kwa MUNGU Maana kafungwa na mengi
2026-11-06 15:54:56
9
user4937057218442
Neith๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ :
uyo binti, inabidi kwanza apate muda wa kukaa pekeake ajisamehe na ajue thamani yake maana mostly anajiumiza yeye na kujichafua kimwili na kinafsi aifanyie kazi psychology yake nasisitiza tena ajisamehe ajifunze kuishi kwaajili yake sio kwaajili ya makosa walio kwisha kufanya watu wengine
2026-11-07 11:14:05
3
user3051254991311
berthos :
story ngumu
2026-11-09 07:46:59
1
leetheboss7
BOSS LEE :
Mbn part two haifunguki jmn inasema vedio isnโ€™t available ๐Ÿ˜ณ
2026-11-10 20:01:49
0
doris_deo1
doris_deo1 :
Nimekumbuka yule wa kupendewa hela๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ linakaribia kunikuta jambo huku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila walimwengu shikamooni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-11-07 16:24:54
2
nkurunziza.yuburu
NKURUNZIZA y'UBURUNDI๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ :
Namuombeya MUNGU binti mwenzangu akute nimzima kwakweli mabinti wengi tunamahumivu kutokana namaisha tuliyo ishi emo kwasababu yawazazi wetu
2026-11-06 16:30:03
9
twins25404
Twins๐Ÿ’ž :
Daaaaah
2026-11-07 06:10:36
1
ryne955
ryne๐Ÿฅฐ :
Hapo kwa wazazi kugombna mbele ya watoto dah ifike mahali hili swala waliache jamni inaumiza hii sisi tulipitia hii changamoto inafika muda hautaki kuishi nyumbani ukifika muda wa kutoka shule kurudi nyumbani unawaz sijui naleo watapigana yaani acheni tu
2026-11-10 07:24:28
1
gykidote05
๐‘ฎ๐’š ๐’Œ๐’Š๐’…๐’๐’•๐’† โค๏ธ๐Ÿฆ‹ :
๐‘ฏ๐’Š๐’๐’Š ๐’Œ๐’˜๐’†๐’๐’Š ๐’Œ๐’–๐’ƒ๐’˜๐’‚ ๐’๐’Œ๐’ ๐’Œ๐’˜๐’‚ ๐’–๐’˜๐’†๐’›๐’ ๐’–๐’๐’Š๐’๐’‘๐’†๐’˜๐’‚ ๐’๐’‚ ๐‘ด๐’–๐’๐’ˆ๐’– ๐’–๐’•๐’‚๐’˜๐’†๐’›๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’Ž๐’”๐’‚๐’Š๐’…๐’Š๐’‚ ๐’๐’‚๐’‚๐’Ž๐’Š๐’ ๐’‰๐’— ๐Ÿ˜Œ
2026-11-06 16:10:16
4
afya726
mrs j๐Ÿ’•๐ŸŽ€ :
sasa ngoja aolewe atakutana nacho maana malipo ni duniani
2026-11-06 20:28:11
2
lovelynkwera153
๐Ÿ’ž๐Ÿ’žpretty girl :
namshukuru mungu sjawai kuwaona wazazi wangu kupigana mbele yangu toka mdg mpk saiv nimekuw saivi mama angu ndo ananihadisia aliyoypitia uko nyuma
2026-11-06 23:20:16
2
kerryn32
Kerry :
Iyo mbaya sana uyo binti Mungu amuonekanie tu
2026-11-06 16:00:03
3
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About