@tiktokjb3: hii sio sawa jamani😢🫡

JB
JB
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 15:45:38 GMT
536659
31153
1858
758

Music

Download

Comments

user3821614081652
user3821614081652 :
Matesso ya mwenye haki ni mengi, lakin Mungu humponya nayo yote, nimesahau andiko linatoka kitabu gan
2026-11-06 17:46:18
644
bahati.bahati355
Bahati Bahati :
selikali ya sasa ndo hii tutafanyaje sasa ila mungu nimkubwa sana wanasema enyi ote mnao hukum nanyi mtahukumiwa
2026-11-06 18:03:40
273
alisibuberwa
Alice tikitoko lavu :
usione unamtesa uyo mwenzako IPO siku mngu atamjibia
2026-11-06 17:01:02
294
sophialugome503
Sophia Lugome :
mungu afadhari umetenda
2026-11-06 19:06:22
44
dina.shayo8
Dina Shayo :
mung anaukum kw haki samia aufik mbali
2026-11-07 03:56:25
132
user478147143059
user478147143059xam mosses :
ohhhhhhhhhhhhhhh
2026-11-08 21:31:26
0
mamashanny532
Mama Shanny :
pole baba
2026-11-08 19:08:33
0
kephan.yohana
kephan yohana :
wakati wa mungu ni wakati sahihi naamini mungu analipa
2026-11-06 16:49:06
110
stevennyamhanga98
STEVEN NYAMHANGA :
Sina lakusema 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-08 08:33:16
1
user416567805087
user416567805087 :
ipo cku
2026-11-08 20:37:18
0
upendomatiasi123456
Upendo matiasi💝 :
Paulo na sira waliomba milango ya Gereza ikafunguka Ee Mungu tenda miujiza
2026-11-06 17:04:14
76
joash4517
D3@0001 :
yatapitatu
2026-11-08 12:10:56
0
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] LISSU ndie mshindi thabit
2026-11-08 16:12:54
0
janethkacha
NYAKYUSA LADY💕💞💫 :
nisiwe muongo nimeumia sana tena sana mpaka nimelia naami utatoka
2026-11-06 17:46:52
50
user4241455023527
maria aron :
mungu ndo anatow hukumu sio binadamu 😂😂😂😂
2026-11-06 19:14:09
32
bisheninixon
bishen nixon :
mungu hayuko hapa hajasafili ucjali mungu mwema yatapita tyu
2026-11-07 10:30:03
24
user4036061172490
sadadarling :
kuna wakati kila nikijaribu kuandika sms ya kusema kitu fulani najikuta ikifika nusu naifuta sijui hata naogopa nn kitatokea😢😢
2026-11-06 20:34:42
34
user9305954797552
aspha :
hii sio post ya mama ,awezi kusema hi bwana emu na nyie mnaofanya haya acheni niseme punguzeni mmemchezesha mama kwenye msiba wa mmewe Sasa mnaanza kujifanya et ayo maneno kasema yeye sio vizr Allah anawaona 😢😢😢😢
2026-11-07 20:16:54
10
lainesbenedicto
Laine's Benedicto :
ila binadamu wanasahau kama kuna siku yaja dunia ni duara tunatesa kwa zamu mungu hachelewi wala hawahi😭😭🙏🙏🙏
2026-11-07 11:16:19
9
user3701473226155
aster969890 :
jalibu halikuwapata isipokuwa ilio kawaida yawanadadam lakini pamoja nahilo mungu atafanya mlango wakutokea usijali baba yetu mungu alie ipasua bahali yasham Israeli wakavuka ataifupisha hiyo miaka itakuwa kama sku Moja tuu amwaminie mungu hata,tahayalika kamwe🕊️🧎
2026-11-07 09:05:01
16
ainess32
ainecc :
utu uko wapi,ile aman ya tanzania iko wapi, au nimsemo tu tanzania nchi ya aman, mungu fanya jambo kwa huyu baba mtendee mema mungu nakuomba,
2026-11-07 11:33:10
6
mrs.baraka.foreva
mrs baraka foreva🥰🥰 :
pole babaangu japochimbukolangu ccm lakini nimeichukia kwaajil ya huyomama mungu atakusaidia usijal
2026-11-06 19:19:13
34
michaelfesto6
michael festo :
Mungu Kama kweli upo Hawa watu usiwanyamazie kiasi hicho nakama utanyamaza basi unawapenda watu Kama hawo
2026-11-06 17:40:34
39
happyjackson181
Happy Jackson :
ple sana baba mwenyezi mungu akulinde huko ulipo usijali utatoka tu baba etu tunakupenda sana wananchi wako
2026-11-06 17:24:42
25
lidi_man_bi
LIDI MAN BI📸📷🎥🎥 :
daaa ndio Mimi ccm daa nakuomba. tundulisu atoke inshallah neno ili nililo litaja nineno kubwa sana mungu mungu mungu mjalie ata wiiki hiii atoke wanawe najamaa atujui Wana pitia nini mungu basi nisikilize mala nyingine mtoe bas😭😭😭😭🥺🥺🥺😭😭i 🤲🤲🤝🤝🤝🤝🤲🤲🤲😭😭😭😭🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-11-06 17:51:37
25
To see more videos from user @tiktokjb3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About