@mohamedhafidh_tz: UMEFICHA STATUS YA MTU WHATSAPP, SASA UNATAKA KUIRUDISHA? Baada ya video yangu ya awali ya jinsi ya ku-Hide Status za watu kwenye WhatsApp, wengi wenu mmeomba niwaoneshe namna ya kuzirudisha tena. Katika video hii nimekuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kufanya hivyo. Tazama hadi mwisho usikose hatua yoyote! #whatsapptips #whatsapptutorial #whatsappstatus #TechTips #mohamedhafidhtz