@sauti_online: Hamad Rashid ambaye ni Mwenyekiti Mstaafu wa ADC anasema kilichotokea kwenye kesi ya Tundu Lissu si Jambo Jipya kwa Tanzania kuna viongozi wengine we kisiasa miaka ya nyuma wanawake kushtakiwa na makosa Kama haya ya Uhaini na Uchochezi. Hamad Rashid ameongeza kuwa yeye binafsi ameshawahi kukaa gerezani miaka mitatu akituhumiwa kwa makosa ya Uchochezi na Uhaini na kwamba wako viongozi wengine waliwahi kukaa kizuizini wakiwa gerezani kwa takribani miaka 10.
G Z Wameingia kwenye mchezo wasiouelewa, wamekurupuka siasa ni mchezo mchafu, una uongo mwingi kuliko ukweli una propoganda hapana kutokea pia kuna ukweli usioeleweka kwa hiyo ni karata 3
2026-11-07 02:52:46
0
Amostinde :
wewe mzee vipi.
2026-11-06 16:01:53
0
Mzalendo Mtulivu :
hakuna mpya hapa, hali ni ile ile tu nimeiona kwa miaka mingi
2026-11-06 17:46:17
0
itochoo :
kanye uko
2026-11-06 18:27:55
0
To see more videos from user @sauti_online, please go to the Tikwm
homepage.