@honorineclaudia254: #wedding #honorineclaudia #charleenruto

Honorine Claudia 💥🔥
Honorine Claudia 💥🔥
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 06 November 2026 15:52:59 GMT
78610
4902
115
89

Music

Download

Comments

getruda.martine8
Getruda Martine :
wifi anajua kucheza nyimbo za kisukuma
2026-11-06 16:56:07
89
pessh50
Nyambura :
wifi kila mahali i be thinking it's WIFI 😅😅
2026-11-06 18:02:49
31
rosemarybaraka702
Atieno yooo!!! :
Kwaio kenya ni wake zetu😂😂😂
2026-11-06 17:31:40
57
corona65148424
Corona :
kwaiyo wifi anaimba [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-06 17:32:42
10
nakungisahouseoffashion
nakungisahouseoffashion :
Nimejikuta natabadamu tuu jamani Love is a very beautiful thing when there is muneyyy🥰😄❤️🫶
2026-11-06 23:23:30
0
sakivey
💦✨Veey❤️🔑✅ :
wifi yetu kachangamka veep🥰🥰😂
2026-11-06 18:44:57
11
mama.sam345
mama sam :
huyu wifi anaonekana anampenda sana kaka yetu mara hii t ameshajua mpka kucheza kisukuma
2026-11-06 18:27:56
18
aulelia20
aurelia20 :
wasukuma waooh
2026-11-06 22:15:29
1
naaaletisia
lety :
kashajua na nyimbo za kisukuma
2026-11-06 17:35:23
9
aisha.hamisi590
aisha hamisi :
Kenya ni wake zetu😂😂😂
2026-11-06 20:36:09
0
layqte
GRACE HAVERST 🌾❤️❤️🌹 :
Aisee ukimpenda mtu utajua hadi wanavyochezaga kikwao na lugha yao
2026-11-06 20:18:47
3
mureyh3
🌹Mureyh🦋🌷 :
Hii inaitwa akikupenda mpk kabila lako analijua Wifi anaimba 😂
2026-11-06 18:43:49
3
angrybird9246
Mwaj..🇹🇿🇶🇦🫶 :
kwenye kucheza kazi tumemaliza imebaki kupiga magoti ila anamimba hongera sana 🥰
2026-11-06 18:20:00
4
maua821
MAUA/ m🥀🌹 :
achana nasisi wasukuma tupo natupoo saana tu@
2026-11-06 18:26:53
1
user4811498578207
marian michael :
kwahiyo wifi nae anajua kisukuma mpaka anaimba
2026-11-06 19:38:46
1
basad657
basadimasunga :
wif kacheza vizuri karibu home
2026-11-06 18:46:04
1
user498544003680
M Kasiga :
kajitahidi wifi yetu kucheza
2026-11-06 19:10:29
1
alima.saidi6
Alima Saidi :
ila wifi au bachiii
2026-11-06 17:36:27
1
mama.shungi
Mama Shungi 😁 :
sasa charlene ni wetu 🥰🥰
2026-11-06 18:42:56
1
marrybuyigi
Marry :
mtoto mlembo hana mambo mengi safi
2026-11-06 16:50:26
4
user9240960868019
🥀 Eunice 🥀💝 :
wifi tunae na tunatamba nae 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-06 22:37:03
0
deopartbrai
deopartbrai :
Sasa anacheza kunizidi na Mimi msukuma
2026-11-06 21:32:06
0
levinah23
---Aiem @Lestan🥀📌 :
naomba sana penzi lako lao lisionje umauti 😳 Wasukuma tutakuwa wa ajabu
2026-11-06 21:43:49
0
loui15463
LOUI LABLES⚓️ :
Adi raha
2026-11-06 21:52:38
0
abgail7912
Abgail :
Amenizidi hadi mimi msukuma
2026-11-06 21:27:28
0
To see more videos from user @honorineclaudia254, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About