@mohammed_khan163: BISMILLAHIRRAHMANIRRAHIM ALHAMDULILLAH! HISTORIA IMEANDIKWA MOROGORO! Leo Ijumaa ya Mubarak, 06 November 2026, tumeshuhudia kufunguliwa rasmi kwa Msikiti Mtukufu, MASJID AL-GHAITH - MOROGORO Msikiti mzuri sana, mkubwa na wa kisasa, unaotajwa kuwa miongoni mwa mikubwa kabisa Afrika Mashariki nzima. Al-Ghaith maana yake ni MVUA YA REHEMA, na kweli leo Rehema imemwagika Morogoro. Ewe Allah, kama ulivyouita Al-Ghaith, miminia rehma zako juu ya mji huu. Ibariki Masjid Al-Ghaith, wabariki waasisi wake, wajenzi wake na kila aliyechangia hata kwa dua. Mabrook kwa Waislamu wote wa Morogoro na Tanzania! #MasjidAlGhaith #Morogoro #06Nov2026

Mohammed_khan163
Mohammed_khan163
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 15:53:11 GMT
42621
2657
120
157

Music

Download

Comments

user2593878500412
Najma :
tupo morogoro ila atujuwi ulipo ? upo wapi?
2026-11-06 18:47:38
5
user5290375044410
zena :
upo sehemu ngan
2026-11-06 20:42:14
0
h8964505
H :
mashshlla allah ackbr
2026-11-06 19:45:59
0
fadhilimgate
fadhilimgate :
Nenda na Shinyanga kuna msikiti pale upo karibu kabisa na barabara kuu ya kutoka Mwanza maeneo ya ushirika
2026-11-06 18:47:42
5
swekey010
SWKEY :
mologolo sema morogoro
2026-11-06 20:48:35
2
said.mzezele
Said Mzezele :
Nenda na Masjid Gadaf Dodoma utajua msikiti gani mkubwa
2026-11-06 19:38:58
6
abuhmaumeme
abuu umeme :
moro semu gani hapo
2026-11-06 19:40:54
2
noumanmvula
noumanmvula :
sehemu gani?
2026-11-06 17:50:43
0
kassimkikwetekassim
kassimkikwetekassim :
upo sehemu gani
2026-11-06 21:11:23
0
hassan_aufitz
hassan_aufitz :
Msikiti mkubwa Afriks Mashariki upo Uganda, Masjid Gadafi upo chini ya UMSC. Google uuone ni wa 3 Afrika
2026-11-06 18:51:47
3
abuusahalally
Asahal :
hhhh huu mkoa wa mologolo ni mpya nini😃😃😃
2026-11-06 21:10:48
2
zaituni524
Zaituni :
waooooo mzuri mashallah mashallah
2026-11-06 19:08:43
1
adilabdallah_
AdilAbdallah_ :
hujauona Masjid Faraj iringa
2026-11-06 20:05:14
2
user77879502147816
TAMY❤️ :
daaaah nakuja Morogoro nionee
2026-11-06 19:18:10
1
mansournatal
mansour natal :
nilipokuwa morogoro niliamini hakuna sehemu yenye misikiti mizuri kama moro hadi nilivokuja dar ndio nikaamini nilikuwa najiongopea
2026-11-06 22:34:36
1
faridanasibu105
sabramamy :
mashallah, ila brother nenda kaangalie ule wa shinyanga
2026-11-06 19:38:35
2
nasmah.cute6
nasmah cute :
mashallA
2026-11-06 16:59:44
0
faheem160177
DE FARHAN :
mashaallah
2026-11-06 20:46:08
1
smileface086
muna velvet scents ❤️ :
maashallah
2026-11-06 17:14:13
1
ladda.mine
Ladda mine :
hapo ni MOROGIORO sio morogoro 😁
2026-11-06 22:54:02
0
skwizasa
Ali Scotia :
aujafikia msikiti wa kinondoni dar es salaam
2026-11-07 00:22:53
0
shaa.burhan
Shaa Burhan :
me sinauhakika upo Morogoro au laa nnacho furahia nikuuona maashallah haqiqat nimzuri
2026-11-07 01:18:14
0
jr_dnd2
jr_dnd2 :
Shinyanga wasemeje?
2026-11-06 23:21:39
0
mtamadunitz8
@MDULLUH Jr :
Mashaallah 🙏
2026-11-06 23:18:16
0
hussei997
Hussein :
maashallah 🙏🙏🙏
2026-11-07 02:14:22
0
To see more videos from user @mohammed_khan163, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About