NDIO MAANA DANGOTE ALIONDOA MRADI WAKE AKAPELEKA KENYA
2026-11-06 19:30:52
3
Jota executive lodge :
kweli mzeee
2026-11-06 18:16:38
2
zakaliamwambenja :
kweri kabisa mkuuuu wangu
2026-11-06 17:28:34
4
Shabani Sudi :
tangu nikufahamu Roatam Azizi hapa umegusa mahali pake. Hakuna uhuru wa mahakama.Mpaka tupate katiba mpya itakayo ipa mahakama nguvu za kutosha.
2026-11-06 20:58:27
1
KB2daar :
2026-11-06 20:15:13
0
sirikhale :
uko sahihi kabisa,,, mahakama imeenda kwao yamebaki maelekezo
2026-11-06 20:34:27
0
Kareem trossard!^ :
fact
2026-11-06 17:41:25
1
ibrahim :
baba kweli nimejionea Leo mahakama zetu azipo huru ziko kwa maelekezo tatizo letu Tanganyika katiba katiba yetu bovu tubadirisheni katiba Aya yote yataisha
2026-11-06 20:05:21
0
Papaa magari brand🇹🇿 :
ukweli
2026-11-06 20:04:53
0
Elias Misikongi :
mungu ni mwema mtandao upo on record hili tumejionea leo
2026-11-06 20:53:51
0
Tall Chocolate :
true
2026-11-06 21:46:30
0
masolwa kembuye :
live
2026-11-06 20:57:05
0
shukuru :
kweli
2026-11-06 17:09:37
0
alhaji omari :
uko sahihi
2026-11-06 19:11:07
0
SETh Joseph :
tatzo ukiwa mkweli hi nchi autakiwii
2026-11-06 19:21:57
0
Prestige Midoli Tz backup :
Truth be told
2026-11-06 19:47:05
0
Innocent :
Mahakama zimekuwa kamanini??
2026-11-06 22:05:33
0
Army J :
Hapo umeongea la maana
2026-11-06 19:38:52
0
ngowo ngowo :
kumbe tangia zamani majaji wanahukumu kwa.maelekezo ya wanasiasa