huyu mwamba mungu amtunze awe na miaka mingi na heri duniani amina
2026-11-07 12:27:00
8
Mr lyuu :
ukweli watu hawautaki
2026-11-06 20:35:46
0
Michael :
mungu akuongoze raisi wetu
2026-11-07 07:42:58
7
paul masatu :
😂😂😂😂dahaaa so painful
2026-11-06 20:22:01
0
user6123090229298 :
Wewe ni shujaa wetu Baba 🥰🥰
2026-11-07 01:45:00
9
Phinah :
pole baba
2026-11-06 19:39:30
0
Panadol_Tz :
God bless you 🙏
2026-11-06 20:22:24
0
Emmanuel Mwalwimbo :
MUNGU KWANINI UMEYARUHUSU HAYA KWA FAMILIA YA LISU UKWELI WAKE, MSIMAMO WAKE, KUTETEA HAKI ZA WATANZANIA, NDO SABABU YAKUTESEKA KWAKE EEE MUNGU INATOSHA SASA
2026-11-07 12:39:26
3
user7844906813048 :
Pole sana mzee wet
2026-11-06 16:51:12
1
janeth :
wanadamu wanajisahau sana hawajui km kesho yetu n fumbo mmemtesa huy bab mkaon haijatosha mkamfung mwogopen mung ban hamn atakaeish milel.
2026-11-06 20:13:33
4
user5990934630312 :
daaaaaaa
2026-11-06 19:29:08
0
Joseph :
Ni Mungu aliyekuumba wala wewe si mali ya mtu yeyote , wanaojaribu kuharibu mwili huo watakutana na Muumba wako
2026-11-07 14:05:31
1
Kilimo kwanza :
Nimelia jana mpaka nimechoka
2026-11-07 17:45:16
0
Naseeb :
mungo atafanya njia
2026-11-07 16:42:33
0
Lìñãh :
Hakia Mungu naapa nitamkumbuka huyu Samia kwa mabaya tu mema sioni hata moja hana huruma jamani,, inauma sana
2026-11-07 09:09:59
1
Jacob🇰🇪🇮🇱 :
2026-11-07 03:40:34
1
jacksonmmbando855 :
🙏🙏🙏hakuna Jambo gumu Kwa Mungu alieumba mbingu na nchi tunakuja kwako Baba angalia viongozi wetu wanavyoteswa babaa tunakuachia wewe baba
2026-11-07 15:34:41
0
Naftali ugulumonaftali415@gmai :
mungu ivi analudilini unaludilini mungu
2026-11-07 17:45:02
0
cotridah🫶 :
Mungu akumbukwe tundu
2026-11-07 18:28:29
0
Joyce Mbongo :
pole sana lisu mungu yupo
2026-11-07 16:41:10
0
Mrisho Kashindye :
allah akujalie baba lengo lako litimie uwe kiogoz wa TZ
2026-11-07 17:10:43
0
devotha1999 :
mng akutangurie tunaumia San mng yupo
2026-11-07 16:50:23
0
To see more videos from user @franco5666777, please go to the Tikwm
homepage.