@maombiabdiel.tz: Kama kweli una nia ya kubadilisha maisha yako mpaka kila mtu ashangae, basi acha yote ambayo umekuwa ukinidanyanya nayo na uanze kutafuta thamani halisi kupitia kile unachokiweza zaidi. Acha kufanya kila kitu, kama hakuna unaloliweza na kutambukika vizuri kwalo, basi anza kulitafuta hilo kwa sababu limebeba hatima ya maisha yako. #elimuyafedha #ntorontolegacyservices #maombiabdiel #financialfreedom