@16kibe: subutu ugari WA muhogo bila kuatanguliza mboga we

KIBE TZ.
KIBE TZ.
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 16:23:13 GMT
30796
2081
181
55

Music

Download

Comments

erastokagoma
Erasto Kagoma :
uko wapi www kigoma
2026-11-07 07:02:38
6
user2046727905087
RUDIGO MWANDIGA HM :
umenikumbusha mbali sana ilikuwa mwandiga dalasa la nne kwente mtihani nililetewa ugali huo na mbaazi da maisha basi tu
2026-11-07 04:17:31
18
dubuser966162741400238
WA MADIBA Mabegan 👿😈👊👊 :
😁😁😁 ila KIBE
2026-11-06 16:35:41
2
baharesamussa
Baharesa 🎀Mussa🎒🍁 :
kebe tz
2026-11-07 12:59:51
0
salimtv88
Salim TV :
hahahahaaa Daaaddeck👍👍👍😁
2026-11-07 09:46:25
0
davidi.bulaga
Davidi Bulaga :
😁😁😁😁😁😁😁 leo umeniweza et kisije kukurud
2026-11-06 17:57:31
2
ramla4697043487487
kdt Qsm❣️ :
daah ila tumetoka mbali kama sio wa kigoma huwezi kuelew kitu hapo[Tears of joy]
2026-11-07 11:36:44
4
sadock.sadock
Sadock Sadock :
ume nikumbusha mbali hivo ulivosimamisha dagaa kwenye ugari 😂😂😂
2026-11-06 20:17:57
3
bellow.boy.tz45
bellow boy Tz45 :
subutuuu
2026-11-07 07:33:58
3
reyissa01
Reyissa 🌺🫶 :
hahaaaa kibe subutuuuuu so kwakunichekesh ukoo
2026-11-06 17:15:25
1
neema.tz27
Neema tz :
Huo ndo wenyewe
2026-11-07 15:40:32
1
mc_pajooo2
MC_PAJOOO :
hjvjhf bbjj hjjg🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-07 12:38:01
1
esha60847
Esha@@@@@@🥰🥰🥰🥰🥰 :
umefanya nimecheka kwasauti msibani
2026-11-07 13:00:39
1
user27331146692873
user27331146692873 :
nimeula sana nikiwa mtt asaivi ata nikae Mika kumi bila yakula siwezi kuwa na hamunao
2026-11-07 09:04:57
1
marrybuzza
Marry Buzza :
umenikuza uo
2026-11-06 23:31:40
1
user34507131183953
Leah samweli :
😁😁😁 na kwel hauendii subutuuuuuuu
2026-11-07 06:28:00
1
sauli.williamu
Sauli william :
subutu bila kutanguliza mboga hakipit
2026-11-07 05:06:34
1
racheldehumble1
Slay_With_Rach :
Subutuuu😁😁😁 umenikumbusha mbaliii kuchomeka dagaa kwenye ugali
2026-11-06 22:32:30
1
davidnicodemas618
Ndahimana David :
Daaaaa
2026-11-06 17:18:23
1
elesefrahim
. :
walai nimecheka sana dah unajua😁😁😁
2026-11-06 20:00:52
1
lucy.sady
lucy sady :
jamani ww ni hatali ivi unatokea sehemu gani
2026-11-06 18:23:25
1
mahamudu.rubibi
ZABIBU WARDA :
siku moja mama aliupika ban kumbe nilikuwa sijuw kama kuku auonagi owo ugali bas nikasikiy baba anasema kuku auoni uyo
2026-11-07 18:11:47
0
user593536103583
big sele :
kaka ee umenikumbuxha mbali
2026-11-07 19:12:13
0
user1851372575760
pendo 💝📿 :
nakubal kaka iy kwel kwawazaliw wakigoma ndotunaelew vt km ivy
2026-11-07 18:52:42
0
kiddiecloset2
Zaymambo :
mdogoangu alikua anauita ugali wa kinyau😁
2026-11-07 21:08:00
0
To see more videos from user @16kibe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About