alafu akuna kumblock akikupigia unaongea kawaida tuuu aiseee😁
2026-11-07 05:40:56
116
macky15maggie :
🤣🤣ndo Mimi huyo nasikia ananisaka huko
2026-11-07 14:51:10
0
Annet neizy :
Wangu analia sai baada ya mimi kumuacha ju ya kunidanganya hana mtoto na kumbe wanaishi pamoja na baby mama lakini wao pia wakaachana na sasa yuko single
2026-11-06 16:34:54
38
Fauziah Ally :
Sas tumeachana nimtafte wa nn
2026-11-07 07:13:41
8
jossy lastborn :
mi nlinyamaza sai n miezi miwili
2026-11-07 07:20:33
7
Burberry ~☆❤ :
mie wa kwangu alijifanya ooh nakutakia maisha mema mie hata sikumjibu wala kumtafuta saivi anaanza tena kupigapiga simu😂😂😂
2026-11-06 20:46:51
30
Natalia Mgaya :
[Red heart]
2026-11-07 18:19:51
0
Anna shalua :
nipo miaka 9 sasa💪
2026-11-06 18:57:03
14
Jessy :
Mimi wangu tuko na miaka zaidi ishirini hatuachani
2026-11-06 22:07:15
6
hopezzzzz :
2 monthz saai but not that eazy ooh😂😂😂
2026-11-06 19:50:22
1
Zaina Isa :
umenifunza Sana nilikuja kuomba msamaha mwezi mzima
2026-11-06 18:45:10
16
Miss🎀~Beatrice🦋🦋 :
Nipo kwenye iyo hali😅😂nakomaa kutafutwa nilimfumania niliona dalili nikiuliza apigwa uongo sasa siku nilivyomkutaa😂nama mamaaaa tangia siku iyoo sijawah muongelesha mpk leo😂😂
2026-11-06 20:16:05
5
maria🌹 :
Sikumblock sehemu yoyote ila namba yake nilifuta na sikuwahi mtafuta ata siku moja mwaka mzima ALITUBUUU😂
2026-11-06 21:15:10
12
stella@123 :
me nilimuazimisha 50k alafu kakaa kmya na me nimeamuq kumnyqmaza nimdai au nimkaushie hvyo hvyo maana nashindwa ata nifanye nini😅
2026-11-07 09:57:08
1
AMINATHA 🇨🇩 :
asante kutupatiya siri kaka
2026-11-06 17:55:09
15
bushbaby :
kumbeeeeee
2026-11-08 06:03:36
1
Yvonne@25 :
one month down the line it's not easy
2026-11-07 05:22:41
5
Iam Marian :
current situation
2026-11-07 13:49:52
3
Caroline Ayiemba :
Hio ndio biashara yangu sasa ivi😅😅😅😅
2026-11-07 12:52:52
2
💞 Cute Riziki💖🇰🇪 :
hivyo ndo tunavyo fanya
2026-11-07 13:57:55
3
Sian❤️ :
hahah me nliulizwa mbn kama Kuna vitu havikupi shd nkasem nalala fine naamka okay sishtuki tn😁😁😁😁
2026-11-07 08:12:32
2
💕Bosslady💝💃 :
silent is the last sign of a woman tired completely,but i must level up n improve my life
2026-11-06 19:40:59
3
Chombo Ya boss :
Iyo ndokweli ✌😂
2026-11-06 16:52:01
4
Roselie🌹 :
kweli kabisa mm naushaidi ☺️☺️
2026-11-06 18:20:45
3
To see more videos from user @realsmola, please go to the Tikwm
homepage.