@bbcnewsswahili: Mahakama Kuu ya Tanzania imemhukumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi. Lissu awali alishatkiwa kwa kosa la uhaini, hata hivyo hii leo hakukutwa na hatia ya kosa hilo. Peter Mwangangi amezungumza na Dkt. Anna Henga na mchambuzi Nicodemus Minde kuhusu hukumu hiyo na athari zake. #bbcswahili #TunduLissu #CHADEMA #foryou #fyp
bbcnewsswahili
Region: TZ
Friday 06 November 2026 16:35:57 GMT
Music
Download
Comments
THE LORD'S OF CHOSEN TZ :
😥mara uhaini mara uchochezi😟 kifuatacho tutaambiwa kaiba nyaraka za mahabusu😭😭
2026-11-06 16:50:49
201
AFRICA LIBERATION 🙏🏿 :
mbona wamezima Mtandao? Serikali dhaifu SANA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 17:30:01
189
Dante cool :
Leo nimegundua kwamba huwezi kupata haki katika Tanzania ambayo wahalifu ndio wanaotunga sheria. ☹️
2026-11-06 17:01:10
62
boss :
this is so painful!
2026-11-06 20:34:48
0
@kp😜_kemar78👑 :
Appreciate
2026-11-07 07:24:43
0
Simba :
exactly my thoughts thanks wakili
2026-11-06 16:42:55
13
aiem phii🇹🇿 :
wamemuonea
2026-11-07 09:13:14
1
NANA juice :
kitu nilicho jifunza leo tudurisu atakuwa huru badaa ya uchaguzi kuisha
2026-11-06 17:25:45
27
Saimoni Mathew :
tushawachokahao wana ccm nakesizaozamchongoo.
2026-11-06 17:27:53
9
Eddie :
Tundu lissu Hana Hatia yoyote CCM tu ndio waga ndamizi ,
2026-11-06 18:18:44
13
ney :
mungu sikiliza kilio cha waja wako
2026-11-06 16:42:53
21
honey :
BBC
nyie wachochezi hajuna mtu hawafahamu
2026-11-06 17:48:59
3
dalas :
daaa inauma sana yani huyu ilikuwa ale mvua ya kutosha miaka 20 ilikuwa nihalal
2026-11-06 16:53:02
5
shukuru :
ndo maana tunataka katiba mpya
2026-11-07 01:04:16
7
Mwahija Kiwitu :
hii nchi ya uwenevu sana
2026-11-06 20:09:52
5
fransisconkuyumba :
#Free TUNDU ANTPASS LISSU
2026-11-06 18:18:02
4
jike lasimba :
yaan serikali inaogopa wananchi na wananchi wanaiogopa serikaliii.....
2026-11-07 03:35:33
2
user5614761023592 :
dah🙌🙌🙌 mungu mlinde lissu
2026-11-06 16:42:52
10
Alsour :
ndio upinzani unapata nguvu bila ccm serikali na mahkama yake kuelewa
2026-11-06 17:07:16
5
user145307859284 :
kweli hata wale uamsho walikaa miaka mingi vipi mlikua wapi
2026-11-07 05:00:16
0
user6216077176678 :
Tanzania hatujakomaa kisiasa kabisaa yaani sisi ni premature
2026-11-06 18:26:24
4
zacki knight :
Kama alizuia uchaguzi huyo aliyepata 98% za kura alizipataje
2026-11-06 20:42:46
2
Dante cool :
Mahakama yenyewe imejihukumu kwa uamuzi walio kutoa.
2026-11-06 19:23:05
2
Mwalimu Ngala :
unaonekana waazi kua mahakama. ya TANZANIA inaendeshwa kisiasa
2026-11-06 17:01:46
3
BLACK MP :
emungu siutu angamize wote tulioko duniani leta watu wapia
2026-11-06 17:15:41
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.