@jvckie23: mwaka 2014 msanii BONGE LA NYAU aliachia hili jiwe lake safi kabisa lililofanya vizuri sana akiwa kamshirikisha king ALIKIBA, jiwe linaitwa UAMINIFU lilitayarishwa na producer BOB JUNIOR 🔥
JvckieSeven backup
Region: TZ
Friday 06 November 2026 16:41:58 GMT
Music
Download
Comments
92780 :
2013 mazee ilikimbiza kinoma
2026-11-06 19:30:33
7
isaya Joel :
2014 stakagi kuikumbuka ata kidogo huu wimbo naweza toa machozi dem wangu aliolewa na ndugu yangu akawa shemeji yangu tena
2026-11-06 19:37:29
19
Mrs D❤️🦋 :
hii nyimbo👌 bnaaaa tmu😋😋 mpka Leo
2026-11-06 17:17:15
5
glory love :
sitaki kukumbukaaa
2026-11-07 15:01:21
0
Raheem Abdul 💝💖 :
My Favorite Song 🎧🎧🤗🥰
2026-11-07 11:15:09
3
shafii kavava :
bonge langoma
2026-11-07 19:56:22
0
swaga boy :
legends never die
2026-11-07 12:19:41
0
Martine King.JR :
uko wp monica wangu nisamehe nlishindwa kutunza uaminifu juu ako japo ulinipenda sana
2026-11-07 06:37:36
1
jumasimeu :
hiyo2013 mwanzo kabisa
2026-11-06 17:57:58
1
Melle Auto Parts :
Alikiba aliimba km hatoimba tena 🔥🔥🔥
2026-11-07 12:28:42
3
ester chalress :
wimbo wangu pendwa 🥰❤️aisee 🫡
2026-11-07 08:33:44
3
Pilesy🫰Paul❣️🦋🤍 :
nyimbo nzuriii
2026-11-06 21:03:49
0
Ramsey :
Utaskia mtu unaambiwa ametoa hit siku mbili ishaisha ladha, hii ngoma ina miaka zaidi ya kumi lkn ikipigwa utapenda tu 💯
2026-11-07 03:52:38
3
Givenchy :
Daaa huu wimbo 2014 nimekumbuka rfk yangu groly nilitembea kwa mguu kutoka kkoo mpka tazara na ckuambulia chochote
2026-11-07 08:35:33
2
Rachel John :
ila bonge lanyau alikuwa🔥🔥🔥🔥bac tu
2026-11-07 23:18:34
1
Sharifa Jongo :
Uaminifu🥰
2026-11-07 20:16:18
0
Franco :
yaani kiba alizaliwa inchi gani huyu🥰
2026-11-06 21:39:18
1
user1612821373743 :
QWRtH
2026-11-07 21:13:25
0
well_dedo :
King
2026-11-07 13:14:04
0
@queenmelissa832 :
NIPO la 4 jamani 😂😂😂😂😂😂
2026-11-08 08:11:43
0
🌲SMART🧑🏻💻 :
ALIKIBA AESHIMIWE AISEE UYU MTU ANAJUA KUIMBA SANA
2026-11-08 06:26:52
0
milly dolly :
kali balaa
2026-11-07 19:04:20
0
CUTY SAUDA :
ilitikisaa sanaaa hiyoo
2026-11-07 17:56:52
0
Teetee :
Bonge.La Nyimbo ila Ilinikuta kipind kigumu niliielewa kuliko mwandish
2026-11-07 17:32:28
0
Nalekat254 :
ngoma kali
2026-11-06 18:28:51
0
To see more videos from user @jvckie23, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.