@islamicswahilinet: KWANINI MWENYEZI MUNGU HASAMEHI DHAMBI YA SHIRKI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 17:09:08 GMT
52984
4306
34
142

Music

Download

Comments

user5559371733727
𝙫𝙖𝙙𝙤 𝙠𝙞𝙙𝙮 :
allha atujalie tuwe wenye kutenda mema
2026-11-06 17:52:30
21
user5277451493683muna
user5277451493683 muna :
kwani iyo shirki nigani ambayo mungu asamei
2026-11-06 17:16:48
5
bukeyassin
Home_design_finishing🦺 :
Allah atuepushie kufanya shirk
2026-11-06 17:18:36
7
mohammedamir9841
Mohammed Amir9841 :
ni nini maana ya shirki ?
2026-11-06 18:56:14
1
mboma4627
"Mboma" :
Sidhani kama Shekhe amepata swali vizuri Sidhani,kivyangu mimi hilo swali Shekhe hakuliskia vizuri
2026-11-06 19:35:03
0
said.ibnusalum
Said Ibnusalum :
mashallah mashallah
2026-11-06 19:07:21
1
muhajj.06
MUHAJJ 06 :
mashallah allah atulipe ujira wake
2026-11-06 18:03:50
1
user3759613752313
Raj :
kwani basi anaambia watu waende kwa waganga kabla ya kusomewa
2026-11-07 03:07:21
0
user2369379586692
user2369379586692 :
1000$
2026-11-06 18:22:12
1
user6697228765614
77 :
Allahu Akbar
2026-11-06 19:55:59
2
saidimtemi
BIN SAYEED🤔💕 :
iv darasa linakuag lini na lini na kuanzia sangap
2026-11-06 18:49:48
1
samsonc875
Sam🇹🇿 :
Kweli MUNGU wa Biblia na mungu wa Qur'an wapo Tofauti. Mungu wa Biblia Anasema Dhambi zote Watasamehewa watu ila Dhambi Moja tu Hawatasamehewa watu Nayo ni Kumkufuru Roho mtakatifu.
2026-11-06 21:02:28
0
mkwizuboy8973
𝗮𝗺𝗲𝗲𝗿 :
Ahaaaaa shee nimekuelewa sana
2026-11-06 23:15:55
0
user3883713113193
Tunzo msafi :
Da wanangu kumbe dini yetu ina rahaaa ivi
2026-11-06 22:22:17
0
hechy.boy
HECHY BOY :
🙏🙏
2026-11-06 18:01:40
1
babdullah4
babdullah🫀💘 :
bingwa 🔥 sheikh walied
2026-11-06 18:07:50
1
reasonandreligion0
The Reasoner :
🥰🥰🥰
2026-11-06 20:15:46
0
reasonandreligion0
The Reasoner :
😂😂😂
2026-11-06 20:15:02
0
mwinyi.mbuguni
Mwinyi Mbuguni :
🥰🥰🥰
2026-11-06 19:06:26
0
user22793549553327
user22793549553327 :
😁😁😁
2026-11-06 21:16:25
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About